Picha: Msemaji wa White House na mwenza wake

Picha: Msemaji wa White House na mwenza wake

Acha hizo,huyo ni msemaji aliyemtangulia, amekabidhi Ofisi kwa huyo mweusi, yaani tangu Lissu aseme anaunga mkono mambo hayo, Chadema mnajilipua tu
Screenshot_20220519-200524.jpg
 
Msemaji wa ikulu ya marekan mwanamam Marie akiwa na mumewe suzani dunie inakwenda Kasi sana


USSR View attachment 2228103
Nilikutana na Suzanne pamoja na dada yake Suzette mwaka 2002 kwenye hafla fulani ya Pentagon iliyokuwa imaendaliwa Hyatt Regency Crystal City; wao walikuwa pamoja na waandishi wa CNN na NBC ila kwenye meza yetu tukakaa mimi na wao tu. Wote wawili walikuwa wanafananana sana na walikuwa warembo sana. Ila Suzette alikuwa inward sana asiyetaka kuongea wala kunywa kinywaji wakati Suzanne alikuwa ni outgoing sana aliyekuwa anachapa kinywaji na alikuwa anauliza uliza sana; in fact alinilipia bili yangu ya kinywaji. Suzana aliniuliza mambo mengi kuhusu background yangu na kwa nini nilikuwa mmoja wa walioalikwa pale. Sasa kwa vile historia yangu ni ndefu na adventurous sana tuliongea sana; baada ya hafla hiyo alinipa contact information zake na kunishauri kuwa siku nyingine nikiwa Washington DC kwenye shughuli za Pentagon niwasiliane naye. Wakati huo nilikuwa nimeshaoa siku nyingin na nina watoto wawili ingawa nilikuwa bado na sura ya ujana; sikuwahi kuwasiliana naye.
 
Beberu hana mda na mambo ya mtu binafsi
Ni yeye na maendeleo kwa ujumla baaaaas [emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisaaaaaaaaah.

Afu cha ajabu hawa lijari wa huku wanaenda kwa hao kuomba misaada na kuwalamba miguu juuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Woyooooooooooooooh.
 
Wajiandae kufagiliwa 2024 kama trump akipita katika uchaguzi maana alishasema ni lazima aludi White House na alivokuwa hafagiliii hayo mambo.
Trump harud tena white house. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Trump harud tena white house. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa atarudi biden huyu ambaye anakosea njia ya kuingilia white house [emoji1787][emoji1787] eti the Eagle has landed and lost the direction
 
Mwenza[emoji777]
Mwenzi [emoji3581]

Mwenza hutumika kama msaidizi wa mgembea hasa kwa ngazi ya urais

Mwenzi ni mpenzi/mchumba/mume
 
Back
Top Bottom