Picha: Msemaji wa White House na mwenza wake

Ungemkaza sasahivi asingekuwa analeta upuuzi
 
Kuwa atarudi biden huyu ambaye anakosea njia ya kuingilia white house [emoji1787][emoji1787] eti the Eagle has landed and lost the direction
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu yuko sawa. Mpe heshima yake tu.

Mwenza = partner
Mwenzi = spouse
Hapana,

Unaweza kuwa na rafiki hata wa jinsia moja akawa mwenzi wako, mwenzio.

Kamusi ya Tuki ya Kiswahili - Kiingereza toleo la pili kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, imemtaja mwenzi kuwa ni colleague, companion, lover.

Nimetoa mpaka authoritative source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…