Haki itashinda bro. Mungu wetu ni mwaminifuHii vita ni ngumu sana. Pesa ya walipa kodi inatumika vile isivyo.
Hakuna vita ngumu Kati ya HAKI na UDHALIMUHii vita ni ngumu sana. Pesa ya walipa kodi inatumika vile isivyo.
Nyumbu nani? Au yule anayesema mafuta Marekani ni dola 8,000?Hivi nyumbu Wana akili kweli?!!!!!!
Hapana, ni Yale yanayoendeshwa kindezi na Malaya kama mange na maria pamoja na gasho lao, lissu.Nyumbu nani? Au yule anayesema mafuta Marekani ni dola 8,000?
Yule aliyesema mafuta ni dola 8,000 tumpe jina gani?Hapana, ni Yale yanayoendeshwa kindezi na Malaya kama mange na maria pamoja na gasho lao, lissu.
Yaani tone tone imekuwa na umuhimu kuliko rasilimali za Tanganyika zinazoporwa na wahuni!Hii vita ni ngumu sana. Pesa ya walipa kodi inatumika vile isivyo.
Ninashaka kubwa kama hiyo pesa ya walipa kodi inatosha kufanya yote haya.Hii vita ni ngumu sana. Pesa ya walipa kodi inatumika vile isivyo.
Mbaya zaidi ukijitokeza kuhoji,badala ya kupatiwa ufafanuzi wa kina; wanaishia kukuteka, kukuua, au kukukamata kwa kuandaa maandamano ya kuchoma moto vituo vya mafuta, kutaka kuua viongozi, nk. Inahuzunisha sana.Ninashaka kubwa kama hiyo pesa ya walipa kodi inatosha kufanya yote haya.
Ninachokumbuka Samia aliwakimbilia wajomba mara tu alipomaliza kunyang'anya madaraka. Safari yake hiyo ya mwanzo kabisa haikuwa na maelezo yoyote kuhusu kilichompeleka huko.
Nchi yetu haina utaratibu wowote wa kuhoji chochote na toka wapi.
Bunge haliwezi kuuliza au kudai chochote; kwa hiyo tupotupo tu, tunaweza kununuliwa kama bidhaa na yeyote anayetaka bidhaa hii.
Nina mashaka makubwa sana juu ya hatma yetu.