Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kula kuku kwa mrija hadi kula samaki kwa Rulaaa
Hii picha ni ya zamani sana
Samaki ukishamkaanga anapunguza dimensions zote , kuanzia uzito hadi urefuHii picha ni ya zamani sana
Sijui tunahangaika nayo nini
Policy zilikua clear kabisa kuhusu size ya samaki
Na huyo bwana alikua anatii maelekezo ya waziri wale jamaa mmoja wa kanda ya ziwa ambaye alitumbuliwa
Hizo factors waliangaliaSamaki ukishamkaanga anapunguza dimensions zote , kuanzia uzito hadi urefu
Picha ya zamani sawa , ila at least iwe kwenye records kuwa kuna kipindi intelectuals waliamua kwa maksudi kukabidhi ubongo kwa mamlaka wakabaki na vichwa tupu.