Picha: Mtalaamu wa masuala ya uvuvi akifanya kazi kwa mihemuko

Hii picha ni ya zamani sana

Sijui tunahangaika nayo nini

Policy zilikua clear kabisa kuhusu size ya samaki

Na huyo bwana alikua anatii maelekezo ya waziri wale jamaa mmoja wa kanda ya ziwa ambaye alitumbuliwa
Samaki ukishamkaanga anapunguza dimensions zote , kuanzia uzito hadi urefu
Picha ya zamani sawa , ila at least iwe kwenye records kuwa kuna kipindi intelectuals waliamua kwa maksudi kukabidhi ubongo kwa mamlaka wakabaki na vichwa tupu.
 
Hizo factors waliangalia

Nilifuatilia sana huo upupu hadi nikapata good explanation

Kumtukana huyo mzee wala Haina tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…