White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Weka picha yake tulinganishe kwanzaYani Mamy Baby ni kisu kwa huyo Mina? [emoji15]
OMG! Mamy baby yule mbovu kama kitu gani sijui?
Mamy baby gani Huyo mkuu?kwa ninayemfahamu hapanaBora usimuone hivyo hivyo maana mamy baby ni kisu kuliko huyo mina
Hahahaaaa...Ha ha ha ngoja afulie nimtafune kwa buku jero
Just imagine sasa huyo alivyo anajiita mina-ally insta you can check herYani Mamy Baby ni kisu kwa huyo Mina? [emoji15]
OMG! Mamy baby yule mbovu kama kitu gani sijui?
Unaangalia rangi mkuuuMina mkali bana kwa Mamy baby
Tuone picha yako basi.I wish ningehost mimi hicho kipindi,Diva angeisoma [emoji6] [emoji108]
Huyu huyuMamy baby gani Huyo mkuu?kwa ninayemfahamu hapana
Kweli mkuu ndio maana kila MTU anajicho lakeHuyu huyu
I wish ningehost mimi hicho kipindi,Diva angeisoma [emoji6] [emoji108]
Naunga mkono hoja,tunahutaji vipindi hata vya audio tu.kuna baadhi yetu humu vipaji wanavyo.Ongea na JF ufanye kipindi masaa mawili mara moja kwa wiki. Kikipata umaarufu unaongeza labda mara mbili au hata tatu kwa wiki. Topic chagua mwenyewe utakazo.
Asante kwa ushauri broh [emoji120]Ongea na JF ufanye kipindi masaa mawili mara moja kwa wiki. Kikipata umaarufu unaongeza labda mara mbili au hata tatu kwa wiki. Topic chagua mwenyewe utakazo.
Kweli shem,sijawahi kuona picha ya Diva isiyo na filters kwenye a/c yake.
Wangapi wamemuhonga?
Huna fani ya utangazaji Diva mpaka kufika hapo alipo ni jitihada zake wewe kuna jitihada gani ulioifanya mpaka utake battle nae humuwezi hata kidogo
we unadhani ni mtangazaji gani wa usiku anaeweza kumfikia huyu Mwanadafada shost mreembo machoni na maskioni sauti tu unaweza kuonga hata plot ya Ghorofa 1 makongo juu
Usimuonee diva jamani ebu leta picha ya celebrity yoyote wa kike toka bongo ambaye aliwahi post picha yeye mwenyewe isiyo ma filter toka camera 360 iingieHivi Diva ni lini ataweka picha yake isiyo na filters jamani?
Yani Diva OG bila kumuonea kwa watu wengine waliompiga picha haiwezekani kwenye a/c yake!
Mkuu,karibia ya wote wanaweka na kutumia ila Diva kazidi.Usimuonee diva jamani ebu leta picha ya celebrity yoyote wa kike toka bongo ambaye aliwahi post picha yeye mwenyewe isiyo ma filter toka camera 360 iingie
Hahaha sema simpendi hata sauti yake ila alikiwaga ananipa stimu kipindi niko chuo simjui hata suraMkuu,karibia ya wote wanaweka na kutumia ila Diva kazidi.
Zake anaedit mnoooo,halafu wala hajui maana anakuwa kituko zaidi.
Angewauliza wenzie wataalam wa kuedit Lulu,Wolper n.k
Hunishindi mimi ninavyomchukia MangeNamchukia huyo kiumbe aitwae diva