Picha: Mtangazaji mpya wa ala za roho, baada ya diva kupigwa chini

Picha: Mtangazaji mpya wa ala za roho, baada ya diva kupigwa chini

Guys diva is irrepressible nampenda sana yule dada. Na sauti yake ile mwenzenu huwa nakufa kwa ajili yake. Redio zingine zimchukue na waanzishe kipindi kama kile. Mbona mwenzake hajafukuzwa aka gigy
 
Yani Mamy Baby ni kisu kwa huyo Mina? [emoji15]
OMG! Mamy baby yule mbovu kama kitu gani sijui?
Just imagine sasa huyo alivyo anajiita mina-ally insta you can check her
 
Ongea na JF ufanye kipindi masaa mawili mara moja kwa wiki. Kikipata umaarufu unaongeza labda mara mbili au hata tatu kwa wiki. Topic chagua mwenyewe utakazo.
Naunga mkono hoja,tunahutaji vipindi hata vya audio tu.kuna baadhi yetu humu vipaji wanavyo.
 
Ongea na JF ufanye kipindi masaa mawili mara moja kwa wiki. Kikipata umaarufu unaongeza labda mara mbili au hata tatu kwa wiki. Topic chagua mwenyewe utakazo.
Asante kwa ushauri broh [emoji120]
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Huna fani ya utangazaji Diva mpaka kufika hapo alipo ni jitihada zake wewe kuna jitihada gani ulioifanya mpaka utake battle nae humuwezi hata kidogo
we unadhani ni mtangazaji gani wa usiku anaeweza kumfikia huyu Mwanadafada shost mreembo machoni na maskioni sauti tu unaweza kuonga hata plot ya Ghorofa 1 makongo juu
Wangapi wamemuhonga?
 
Hivi Diva ni lini ataweka picha yake isiyo na filters jamani?
Yani Diva OG bila kumuonea kwa watu wengine waliompiga picha haiwezekani kwenye a/c yake!
Usimuonee diva jamani ebu leta picha ya celebrity yoyote wa kike toka bongo ambaye aliwahi post picha yeye mwenyewe isiyo ma filter toka camera 360 iingie
 
Usimuonee diva jamani ebu leta picha ya celebrity yoyote wa kike toka bongo ambaye aliwahi post picha yeye mwenyewe isiyo ma filter toka camera 360 iingie
Mkuu,karibia ya wote wanaweka na kutumia ila Diva kazidi.
Zake anaedit mnoooo,halafu wala hajui maana anakuwa kituko zaidi.
Angewauliza wenzie wataalam wa kuedit Lulu,Wolper n.k
 
Mkuu,karibia ya wote wanaweka na kutumia ila Diva kazidi.
Zake anaedit mnoooo,halafu wala hajui maana anakuwa kituko zaidi.
Angewauliza wenzie wataalam wa kuedit Lulu,Wolper n.k
Hahaha sema simpendi hata sauti yake ila alikiwaga ananipa stimu kipindi niko chuo simjui hata sura
 
Back
Top Bottom