Picha: Mtangazaji mpya wa ala za roho, baada ya diva kupigwa chini

Eeh ila wambea nimewavulia kofia, wiki kadhaa nilisikia makelele kuwa diva katimuliwa clouds ,diva mwenyewe akatoa mchambo wa haja kukanusha,kumbe kweli bibie kitumbua kimeingia mchanga,looh maskini pole diva
aefeb3dfe6cff563c34f6f285d53abdf.jpg
Nifah nlikumis sana mtoto mzuri upo?
 
Hivi Diva ni lini ataweka picha yake isiyo na filters jamani?
Yani Diva OG bila kumuonea kwa watu wengine waliompiga picha haiwezekani kwenye a/c yake!
filters ndio nini huku Songea hilo neno hatujawahi kulisikia kabisa dah..
 
Atahamia EFM kwa shoga yake Dina.....ila huyu mtoto bado yupo juu anajua kuji apgrade wanga akina Nifah mtakufa na vijiba vya roha
 
Mkuu ningekuwa mtangazaji tupambanishwe na huyo Diva ningemuacha mbali sana [emoji4]

Mie wala sina kijiba cha roho kwake mbona? Nimejipigia tu chapuo hahahaaaaaa
 
filters ndio nini huku Songea hilo neno hatujawahi kulisikia kabisa dah..
Ni kurembaremba picha shemela.
Yani unaichuja picha kutoka kwenye uhalisia kwenda kwenye muonekano wa kuvutia tofauti na uhalisia.
 
Mkuu ningekuwa mtangazaji tupambanishwe na huyo Diva ningemuacha mbali sana [emoji4]

Mie wala sina kijiba cha roho kwake mbona? Nimejipigia tu chapuo hahahaaaaaa
Huna fani ya utangazaji Diva mpaka kufika hapo alipo ni jitihada zake wewe kuna jitihada gani ulioifanya mpaka utake battle nae humuwezi hata kidogo
we unadhani ni mtangazaji gani wa usiku anaeweza kumfikia huyu Mwanadafada shost mreembo machoni na maskioni sauti tu unaweza kuonga hata plot ya Ghorofa 1 makongo juu
 
Eeh ila wambea nimewavulia kofia, wiki kadhaa nilisikia makelele kuwa diva katimuliwa clouds ,diva mwenyewe akatoa mchambo wa haja kukanusha,kumbe kweli bibie kitumbua kimeingia mchanga,looh maskini pole diva
aefeb3dfe6cff563c34f6f285d53abdf.jpg
Maji mara moja enziii zilee
 
Back
Top Bottom