Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

Mueke na wa south tulinganishe chata ya ndomo tuone.
d7c993a7f66e34bb04962adcd3714432.jpg
 
kwa hiyo hawa watoto madomo ndo chata yao...maana kila picha zao lazima wawavizie watoto wakati wamefumbua midomo ndo wawapige...ni kahensam lakini mashaallah.

Ila walimnyoa kweli nywele za kuzaliwa nazo huyu,au wameunganisha tu na hizo singasinga alizozaliwa nazo!
[emoji23][emoji23]
 
Katoto kazur mno..ila ndo kameshabebeshwa roho ya kukataliwa!
kwa kweli aise...kuna mambo ukifikiria sana mbali na kulaumu wazazi wake unaweza hata kumkufuru Mungu,kwanini alijaalia mtoto mzuri kama huyu aje dunia kwa njia chafu na ya fedheha kama hii!!
 
Ha ha ha. Kaaazi kweli kweli!! Kwa madai yao hakuna haja ya kipimo cha DNA
teh teh teh,ila nzuri hii maana ukisingiziwa tu unatafuta alama yako muhimu,kama hana unamkana futi mia sio wako,na swali litakuja "mbona huyu hafanani na wale wengine?"
 
Back
Top Bottom