Picha: Mtoto wa Diamond na Hamisa

[emoji23][emoji23]
 
Katoto kazur mno..ila ndo kameshabebeshwa roho ya kukataliwa!
kwa kweli aise...kuna mambo ukifikiria sana mbali na kulaumu wazazi wake unaweza hata kumkufuru Mungu,kwanini alijaalia mtoto mzuri kama huyu aje dunia kwa njia chafu na ya fedheha kama hii!!
 
Ha ha ha. Kaaazi kweli kweli!! Kwa madai yao hakuna haja ya kipimo cha DNA
teh teh teh,ila nzuri hii maana ukisingiziwa tu unatafuta alama yako muhimu,kama hana unamkana futi mia sio wako,na swali litakuja "mbona huyu hafanani na wale wengine?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…