hahahahahah jamani dah aisee we jamaa umenichekesha...kwakweli yataimba Mungu anirehemu haahahahDada Mtumishi!
Wewe usipoimba hata mawe yataimba!
hahahahahah jamani dah aisee we jamaa umenichekesha...kwakweli yataimba Mungu anirehemu haahahah
sawa Paroko hahahahaaBwana ni mwenye haki ameshakusamehe!
Usishupaze tena shingo yako!
😀😀😀😀😀😀
Baba Paroko daah!sawa Paroko hahahahaa
Kama umepiga mpunga fanya ku assist ya soup mimi liver na monaco wamenizingu alfu usisahau kuleta na mkeka wa Leo nitembelee nyotasawa Paroko hahahahaa
weee mie liverfool wamechana sina hamu...zingine zote zilikua poa!Ila haina shida leo tena nitatupiaKama umepiga mpunga fanya ku assist ya soup mimi liver na monaco wamenizingu alfu usisahau kuleta na mkeka wa Leo nitembelee nyota
Hamna kuchoka mpaka kieleweke ila usisahau kunitaarifu mkeka utakao tupia na mimiweee mie liverfool wamechana sina hamu...zingine zote zilikua poa!Ila haina shida leo tena nitatupia
okay nimeweka huu wa kwanza Roma,Atletico madrid,juve,barca huyu man nina wasiwasi nae kama livefool leo Pogba si hayupo...Hamna kuchoka mpaka kieleweke ila usisahau kunitaarifu mkeka utakao tupia na mimi
Wape droo hao man united maana wamepewa point ile ile ya gunduokay nimeweka huu wa kwanza Roma,Atletico madrid,juve,barca huyu man nina wasiwasi nae kama livefool leo Pogba si hayupo...
Haswaa kama huyo Latifah atakumuoa anaweza akiwa mkubwa.maana watoto waliozaliwa nje ya ndoa ni wa mama.kifupi Dai hana mtoto.Huyu mtoto DNA ni 101% ila diamond afanye aoe maana ktk uislam mtihani mtupu hana mtoto ht mmoja(mnisamehe nliowakwaza ila ndo ukweli mtoto wa nje ni wa mama)
yanafaa kutumika ule upande wa pili
Behind the scene wewe unaweza ukawa ni choko mchafu kuliko hata hawa unaowalaani hapa...Zari na Diamond kwangu mie ni malaya wa kike na kiume wamekutana kushare vikojoleo vyao period. Hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole na ndio maana wanasonga na maisha; ndege wafananao huruka pamoja. Na hii dhambi uwa haimuachi mtu salama, uzao wao nao utaendelea vivyo hivyo. Tuwaombee tu waepuke magonjwa pia.
Atletico kakuchania dah! mimi Bayern kachoma kibandqokay nimeweka huu wa kwanza Roma,Atletico madrid,juve,barca huyu man nina wasiwasi nae kama livefool leo Pogba si hayupo...
hahaha kasepa na kijiji..nilikua simuamin Chelsea aisee..alafu ni timu yangu pendwa.Pole mwaya supu imeingia mchangaAtletico kakuchania dah! mimi Bayern kachoma kibandq
Ngoja Leo mimi nipumuzike hadi jumamosihahaha kasepa na kijiji..nilikua simuamin Chelsea aisee..alafu ni timu yangu pendwa.Pole mwaya supu imeingia mchanga
sawa hata mie nafikiria kufanya hivo aisee..Ngoja Leo mimi nipumuzike hadi jumamosi