Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.

 
hahahaha nasikia team wema walimtisha akaitoa post but ameongea ukwel
 
Mi kwa uelewa wangu mdogo binamu ukifunga hutakiwi kula chakula kilichopikwa na hawara... aaah mambo ya kidigitali haya bwana.... ndio maana karibia ramadhani ndoa nyingi zinafungwa
 
Yeee alikwenda o hakwenda????

Naona hakwenda aliona kwenye gazeti la shigongo watu na wakwe zao wanavyojishaua ,chezeya camera za shigongo wewe. kaongea point sana ila na yeye hata sikumdhania kama anafuatiliaga aya mambo, kumbe na yeye mbea ivi halafu hata hafananii handsome mwenyew halafu anaonekana mstaarabu kumbe mchawi tu na yeye ,sasa kilimuuma nini? Japokuwa mama ubaya na ndomo na wenyew hawakufanya poa.
 
Nshamfollow kaka mtunisy instagram, kaongea point sana, ila nashangaa tu huyu kaka yetu huu UMBEA na kumfuatilia wema sepetu na ndomo kaanza lini, maana jamaa jinsi alivyo na mambo aliyoyafanaya hata haviendani, mi nta ku follow tu insta kwa kuwa umenifuraisha sana leo japokuwa tu aliyetoa ujumbe ndo sikumtegemea, unajua nilikuwa nakuheshimu sana mtunisy? We hujui tu
 
Hahahahahaha binamu umenichekesha eti kaka mtunisy
 
Hahahahahaha binamu umenichekesha eti kaka mtunisy

Team wema sasa kama kawaida yao, wamemchamba maskini kaka watu, jamaa mwenyew hata hajui kuongea na kigugumizi chake

Sasa team wema imenishangaza tu jinsi waavyochamba , yani hawaeleweki hata kidogo, jamaa kawapa makavu live, eti mmoja wa tea wema anakwambia eti wema na ndomo wameshaona kisir kabla ya ramadhan et walifunga ndoa ya siri kukwepa umbea, nikasema labda sio mama ubaya huyu na ndomo huyu tunayemjua sie
 

Ila alichosema ni kweli kabisa, hawara anapika chakula mama mkwe anaenda kula hizi dini watu wamezifanya za mchezo, kama kuvalishana pete club
 

Mtunis naye atulie, naye maisha ya mapenzi mbona yameshamshinda ana ruka ruka tu, anatafuta kiki tu hana lolote.
 
Hao timu wema wanamchamba kaka wa watu ila alichosema ni kweli kabisaa.Tatizo hizo team zake wote ni zero brain yani hata penye ukweli wanaleta midomo yao isiyokuwa na staha yani I wish siku moja washushiwe kipigo cha mbwa mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…