Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

Hawa sinwalikatazwa na bunge kufanya mambo ya kufuturisha ?
 
Team wema sasa kama kawaida yao, wamemchamba maskini kaka watu, jamaa mwenyew hata hajui kuongea na kigugumizi chake

Sasa team wema imenishangaza tu jinsi waavyochamba , yani hawaeleweki hata kidogo, jamaa kawapa makavu live, eti mmoja wa tea wema anakwambia eti wema na ndomo wameshaona kisir kabla ya ramadhan et walifunga ndoa ya siri kukwepa umbea, nikasema labda sio mama ubaya huyu na ndomo huyu tunayemjua sie

Wafunge ndoa ya sr ktokee nn watu wa shiw off wale hata wakla sosej za mia 4 mia 5 tunaonyeshwa sembuse ndoa kwa wapenda sfa wale. Walaaaa skubalian nae.
Of coz hao team wema nahs wote hawajaenda shule coz sometimes wanakataa vtu vya kwel yaan penye ndio huweka hapana vice versa
 
Naona hakwenda aliona kwenye gazeti la shigongo watu na wakwe zao wanavyojishaua ,chezeya camera za shigongo wewe. kaongea point sana ila na yeye hata sikumdhania kama anafuatiliaga aya mambo, kumbe na yeye mbea ivi halafu hata hafananii handsome mwenyew halafu anaonekana mstaarabu kumbe mchawi tu na yeye ,sasa kilimuuma nini? Japokuwa mama ubaya na ndomo na wenyew hawakufanya poa.

Umbea hauna u handsome wala nn....ni hobby tu kama mtu anavyopenda kuogelea,kuimba n.k!!!

Maovu yaepukwe siku zote,sio kula futari ndo iwe big deal!!!
 
Ila alichosema ni kweli kabisa, hawara anapika chakula mama mkwe anaenda kula hizi dini watu wamezifanya za mchezo, kama kuvalishana pete club

Na kawakomesha, ujumbe wameshaupata maana hatupumui huyo mama ubaya kutwa kujifanya anapendwa na mama mkwe, mama mkwe mwenyew ndumi la kuwir mswaz original unafiki anauweza kiama, we muache tu aache kuigiza akisubir ndoa ndo atakapoona utamu wa dunia

Mtunis naye atulie, naye maisha ya mapenzi mbona yameshamshinda ana ruka ruka tu, anatafuta kiki tu hana lolote.
 
Hao timu wema wanamchamba kaka wa watu ila alichosema ni kweli kabisaa.Tatizo hizo team zake wote ni zero brain yani hata penye ukweli wanaleta midomo yao isiyokuwa na staha yani I wish siku moja washushiwe kipigo cha mbwa mwizi

Mimi walichokuwa wananishangaza ni jinsi wanavyochamba, yani mwenzao kaongea point wenyew wanatukana tu hata vitu ambavyo havipo kwenye maada, naona mtuniay kawavuruga team wema, manina lazima wakae mwaka huu

Jamani binamu usisahau kum follow kaka mtunisy mtunisy
 
Last edited by a moderator:

Yani binamu sijui tu kwanini huwa siipendi insta naionaga tu kwa shost yangu.Usijali nitamwambia am follow
 
Last edited by a moderator:
Na yeye Mtunisi mbona anazini na Batuli si amuoe su siyo dhambi. Awaache wenzie walaleee.
 
Umbea hauna u handsome wala nn....ni hobby tu kama mtu anavyopenda kuogelea,kuimba n.k!!!

Maovu yaepukwe siku zote,sio kula futari ndo iwe big deal!!!

Inafariji kuona hadi ma handsome wambea, dah chama linaongezeka sema mtunisy katishaa kwa kweli huu ni ukweli na uwazi
 
Yani binamu sijui tu kwanini huwa siipendi insta naionaga tu kwa shost yangu.Usijali nitamwambia am follow

Kule na kwenyew kuna umbea binamu wa haja, sema mpaka uzipate hizo page matata, kuna watu kule wanamwaga ma umbea had mdomo unabaki wazi, jiunge ntakwambia wat wa kuwa follow usiboreke
 
Na yeye Mtunisi mbona anazini na Batuli si amuoe su siyo dhambi. Awaache wenzie walaleee.

Tena umenikumbusha, dah batuli nyie kafa kaoza kwa mtunisi, alikuwa anasimulia mwenyew jinsi walivyopendana miaka hiyo ila akimwambia mtunisy ampeleke kwake jamaa anakataa had siku batul alipomwambia rafiki wa mtunisi ampeleke kwa mtunisy kuna mzigo anampelekea kumbe alitaka kupajua kwa mtunisy, kwenda kumbe jamaa kaoa bhana, wacha mtiti uanze ndani nasikia mke wake akaondoka akamwachia nyumba batuli na lenyew lilivyokuwa na mahaba niue akabaki na mume wa mtu wakaishi wote had walipigombana tena, nasikia jamaa kaoa ila bado anachepuka na batuli
 
Mie mwenyewe bado niko na mshangao, hii ramadhani itabidi nimtafute shehe anielezee, ni sawah kwenda kufuturu kwa hawala?

Mi kwa uelewa wangu mdogo binamu ukifunga hutakiwi kula chakula kilichopikwa na hawara... aaah mambo ya kidigitali haya bwana.... ndio maana karibia ramadhani ndoa nyingi zinafungwa
 
But nadhani ramadhani hii hawaonani, wanafuata maadili ya dini

Na yeye Mtunisi mbona anazini na Batuli si amuoe su siyo dhambi. Awaache wenzie walaleee.
 
Duuu warumi hiyo mpya jamani. Kweli hii dunia haiishi vituko jamani. Mi nilijua Mtunisi hana mke yaani hajaoa kbs.
Tena umenikumbusha, dah batuli nyie kafa kaoza kwa mtunisi, alikuwa anasimulia mwenyew jinsi walivyopendana miaka hiyo ila akimwambia mtunisy ampeleke kwake jamaa anakataa had siku batul alipomwambia rafiki wa mtunisi ampeleke kwa mtunisy kuna mzigo anampelekea kumbe alitaka kupajua kwa mtunisy, kwenda kumbe jamaa kaoa bhana, wacha mtiti uanze ndani nasikia mke wake akaondoka akamwachia nyumba batuli na lenyew lilivyokuwa na mahaba niue akabaki na mume wa mtu wakaishi wote had walipigombana tena, nasikia jamaa kaoa ila bado anachepuka na batuli
 
Duuu warumi hiyo mpya jamani. Kweli hii dunia haiishi vituko jamani. Mi nilijua Mtunisi hana mke yaani hajaoa kbs.

Mume wa mtu mtunisi, ila shoga yako batuli anamganda hatar
 
Back
Top Bottom