Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

Diamond na Wema ni kina nani??
Madogo flani kila kukicha JF lazima ukute thread zao mara wema mnafki,mara diamond anunua ndege,mara wema afuturisha kijiji chote cha bongo Movie.Hao ndio hbr za huku JF wee nenda JF celeb angalia kunapost ngapi na view wangapi?Wanatisha utadhani mafreemason.
 
Mwenzio hapo ndo kafanikiwa.....

Kupata followers

Nshamfollow kaka mtunisy instagram, kaongea point sana, ila nashangaa tu huyu kaka yetu huu UMBEA na kumfuatilia wema sepetu na ndomo kaanza lini, maana jamaa jinsi alivyo na mambo aliyoyafanaya hata haviendani, mi nta ku follow tu insta kwa kuwa umenifuraisha sana leo japokuwa tu aliyetoa ujumbe ndo sikumtegemea, unajua nilikuwa nakuheshimu sana mtunisy? We hujui tu
 
Ile sio timu wema bali ni misukule ya wema..... maana hata wema akijamba wao wanasifia

Team wema sasa kama kawaida yao, wamemchamba maskini kaka watu, jamaa mwenyew hata hajui kuongea na kigugumizi chake

Sasa team wema imenishangaza tu jinsi waavyochamba , yani hawaeleweki hata kidogo, jamaa kawapa makavu live, eti mmoja wa tea wema anakwambia eti wema na ndomo wameshaona kisir kabla ya ramadhan et walifunga ndoa ya siri kukwepa umbea, nikasema labda sio mama ubaya huyu na ndomo huyu tunayemjua sie
 
...hivi mnamjua aliyeanzisha opinion polls kwenye magazeti mwaka 1995?

Naona mama ubaya message imemfikia jana ka panick kutwa nzima anapost picha zake na hawar yake ndomo anakwambia wenye wivu wajinyonge , yani watu waache kumuonea wivu K-LYN kapata billionare mengi wamuonee wivu yeye hii si itakuwa miujiza? Mwenzie anajengewa shule na miradi ya maana yeye kutwa anatake selifi na hawar yake ambaye anamdanganyag kwa perfume na chupi za ulaya
 
Ndio ushangaeee eti anasema hadi daku watu tushamchokaa kwanza anamzeekea daimond,naamini daimond atakuja aoe msichana mbichiii huyo wema ni wa short time tu hana jipyaaa,badala apige kazii amekalia kujifyotoa hizo picha atazila labdaaa
 
mmh yani ndomo angemchukua mtoto hamisa mobeto, mtoto mkaliii halafu mbichi , kwanza wameendana kishenzi kuliko hata huyo sugar mami wake mama ubaya yani hata hawaendani mfyuuuu, binamu ukimuona mama ubaya live utamkimbia ana komwe ka dafu la kimbiji sura imemshuka ka pumbu za muhogo mchungu
 
Hahhhhhhaaaaaa uwiii nimechekajeeerr ka dafu la kimbijii
 
mmh yani ndomo angemchukua mtoto hamisa mobeto, mtoto mkaliii halafu mbichi , kwanza wameendana kishenzi kuliko hata huyo sugar mami wake mama ubaya yani hata hawaendani mfyuuuu, binamu ukimuona mama ubaya live utamkimbia ana komwe ka dafu la kimbiji sura imemshuka ka pumbu za muhogo mchungu

Hahahaaaa warumi ni shidaaaaa unampa m2 za uso
 
Khaaaaaaaaaa

Back
Top Bottom