Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Ni kweli sio rahisi kama tunavyooneshwa. Nimepata wasaa wa kutembelea sober house ya kigamboni mara kadhaa nikapata picha ya kuona ni jinsi gani ilivyokua ngumu kuacha haya 'madude', si kwa kula methadone tu tena ndani ya siku cjui 28.Huwezi kuacha unga kizembe hivyo
nimeisikiliza hiyo ngoma duh kijana anamatusi sana sasa yeye ndie kawa mgonjwaCHID BENZ ana laana ya kumtukana Mzee Lowassa. Hili litamtesa mpaka kifo chake. Hizi picha zime-editiwa sana. Huyu teja hawezi kupona kirahisi hivi. Amuulize RAY C!
Kama nyimbo zake ndio kama hii hapa! Bora apotee tu! Hebu sikilizeni haya matusi!
Kama anataka kutoka tena hana budi kutuomba msamaha na kumuomba LOWASSA msamaha, otherwise anapoteza muda tu!
At least ungepongeza kwa hatua ambayo kafikikiaSina imani naye huyo....