Picha: Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house

Picha: Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
559
Reaction score
808
1.png

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

2.png

3.png
 
kwa jinsi navyo ujua unga uyo kijana bado hajakaa sawa na wanavyo taka arudi kwenye mziki haraka akisha pata uchumi kidogo tu atarudia tena
 
Wasafi hapo wamebug kwakweli, hicho kichwa kishaoza
 
Kwa muonekano huo bado anaumwa sana, anajilazimisha tu kukenua meno
 
Si nliskia katoroka huko baada ya jamaa zake kuacha kwenda kumuona na kumpelekea mahitaji kama walivyokubaliana na kudai kuwa ametelekezwa...?

Kwani dozi ya madawa huchukua muda gani mpaka sumu kutoka mwilini kwa mtu kama Rashid...?
 
CHID BENZ ana laana ya kumtukana Mzee Lowassa. Hili litamtesa mpaka kifo chake. Hizi picha zime-editiwa sana. Huyu teja hawezi kupona kirahisi hivi. Amuulize RAY C!
Kama nyimbo zake ndio kama hii hapa! Bora apotee tu! Hebu sikilizeni haya matusi!
Kama anataka kutoka tena hana budi kutuomba msamaha na kumuomba LOWASSA msamaha, otherwise anapoteza muda tu!
 
Huwezi kuacha unga kizembe hivyo
Ni kweli sio rahisi kama tunavyooneshwa. Nimepata wasaa wa kutembelea sober house ya kigamboni mara kadhaa nikapata picha ya kuona ni jinsi gani ilivyokua ngumu kuacha haya 'madude', si kwa kula methadone tu tena ndani ya siku cjui 28.
Anyway Kila mtu na maisha yake
 
CHID BENZ ana laana ya kumtukana Mzee Lowassa. Hili litamtesa mpaka kifo chake. Hizi picha zime-editiwa sana. Huyu teja hawezi kupona kirahisi hivi. Amuulize RAY C!
Kama nyimbo zake ndio kama hii hapa! Bora apotee tu! Hebu sikilizeni haya matusi!
Kama anataka kutoka tena hana budi kutuomba msamaha na kumuomba LOWASSA msamaha, otherwise anapoteza muda tu!

nimeisikiliza hiyo ngoma duh kijana anamatusi sana sasa yeye ndie kawa mgonjwa
 
Me mdogo wangu alipelekwa sober mara5 kila akitoka anarudia ya mwisho alijiovadozi roho ikaacha mwili!very sad
 
Back
Top Bottom