Nimeona ila ule umbea hauna kichwa wala miguu wanasema tu lulu kaachwa bila manjonjo mingine yan udaku mkavuuu hauna hata mchuzi binamu, ntafuatilia nijue lakin
Mh sitaki hata kupitwa umbea gani huo
Halafu davido kama nani?
Kajitahid kuji hensamisha baba ubaya
Haya binamu fatilia uje utujulishe maana umbea wote uko IG
Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya.
Not real... Edited picture ! It might be fotoshop or camera 360