Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

Binamu nasikia IG kuna umbea wa lulu umemwagwa.Hebu fatilia uje utujulishe

Nimeona ila ule umbea hauna kichwa wala miguu wanasema tu lulu kaachwa bila manjonjo mingine yan udaku mkavuuu hauna hata mchuzi binamu, ntafuatilia nijue lakin
 
Nimeona ila ule umbea hauna kichwa wala miguu wanasema tu lulu kaachwa bila manjonjo mingine yan udaku mkavuuu hauna hata mchuzi binamu, ntafuatilia nijue lakin

Haya binamu fatilia uje utujulishe maana umbea wote uko IG
 
Hizo nyusi wanapaka ninii!!!!naona na Davido nyusi zake kama anazipaka kitu hivii zinakua nyeusii tiii,ila wanapendezaaa,vipi tayari anaendesha hummer au
 
Yaani mwanaume mzima unabinua mdomo ukipiga picha.
Huyu abaki vile ile na domo lake
 
Back
Top Bottom