real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
mmmhhh...!km mdudu wa kuuma...!!!
makalio.
Anajibebisha wakat sura limeshakomaa
ka unajua makalio unasemaje wengine wamekalia majungu
vipo vingi 2 vya kukalia nyie mmekalia majungu yy kakalia makalio, wengine wanakalia vidole .......
Asee..!! hii ni baada ya kupigwa chini Tuzo 2 mfululizo na Jamaa mwenye kipara...Kamati ya ufundi ya Diamond imegundua tatizo ni Nywele
😉
Natania tu .. Teh! Teh! 😀 kapendeza
Wengine wanakalia Kigogo.
Warembo wanavyoupenda! Wakiuona utawasikia wanabana pua na kusema: haro bebi dayamon, niaje?anavyohangaika kuukunja huo mdomo hadi unapungua.....
Nani anamjua yule jamaa anaitwa Flava Flav?
yule wa PE au kuna wa bongo?
Huo Mdomo mbona kama sio Wake... maana mi Najua NDOMO LAKE KUBWA sasa hapo mbooona Kama Wa Davido au Ndo yale yale ya Michael Jack:what::what::what::what::what::what: