Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

kila post inayomuhusu Domo inajaa ukiba tu!
 
taarifa zilizopo chini ya kapeti
ni kuwa kamuoa wema kisiri siri!
ndo akanyoa hizo nywele!
tafwaaaaazali binamu hebu tuangalizie rada zako vizur!
 
nangoja ageuke...
attachment.php
1240661_392558307534376_926579765_n.jpg
 
Asee..!! hii ni baada ya kupigwa chini Tuzo 2 mfululizo na Jamaa mwenye kipara...Kamati ya ufundi ya Diamond imegundua tatizo ni Nywele
😉

Natania tu .. Teh! Teh! 😀 kapendeza
 
Dah huyu jamaaa asingekuwaa na Pesa angekuwaaaa Lofaaa sana..
 
Asee..!! hii ni baada ya kupigwa chini Tuzo 2 mfululizo na Jamaa mwenye kipara...Kamati ya ufundi ya Diamond imegundua tatizo ni Nywele
😉

Natania tu .. Teh! Teh! 😀 kapendeza

Kamata za ufundi ndio zinazoponza bichwa cha msingi ajipange tu
 
Mweh akiwa na babe wake itakuwa shida kuwatofautisha yupi me na yupi ke
 
Back
Top Bottom