Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

Wee hapo umeuona ulimbuken mxiuuuu na bado mtakufa sana na hayo maji ndomo kiboko yenu
 
Kiba kwa platnum atasubiri sana jamaa kapata nafasi kaitumia vizuri, hawezi kushuka kirahisi kama mnavyodhan yy kiba alikua wapi cku zote, diamond ana nyota inayoshine mkubali mkatae, mnapoteza mda wenu kumdis
 
Domo asipoangalia 2014 unaweza kuwa mwaka wake mbaya sana. Atapotea
 
hicjko kicwa kabandikiwa nn?hasithubutu coz hana sura ya kipara awaachie akina mpoki na dotto wa star TV
 
kiba mtoto wa kigoma
Sehemu uliyozaliwa kitovu chako kikatupwa ndio nyumbani kwako au wewe mzaramo maskini umezidiwa ujanja na wakigoma...mh sugu sio Mtu wa mbeya ila kapateka..mh Lema ,mh mnyika,mh mdee jipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…