Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa binamu unajua warumi anafananaje
Wee hapo umeuona ulimbuken mxiuuuu na bado mtakufa sana na hayo maji ndomo kiboko yenu
Frewmason waikwambiaa hata utembeewe uchi utatembeaaaa tu
Domo asipoangalia 2014 unaweza kuwa mwaka wake mbaya sana. Atapotea
samahani kwani we unaundugu na shehk. Yahaya?! ..........
Grand PA
Domo asipoangalia 2014 unaweza kuwa mwaka wake mbaya sana. Atapotea
2014 ipi tena maan hii ndio inaishia na ndio anayopatia tuzo.
Mwaka haujaisha mkuu
Sehemu uliyozaliwa kitovu chako kikatupwa ndio nyumbani kwako au wewe mzaramo maskini umezidiwa ujanja na wakigoma...mh sugu sio Mtu wa mbeya ila kapateka..mh Lema ,mh mnyika,mh mdee jipangekiba mtoto wa kigoma
hehehe nyie watu dahAnajibebisha wakat sura limeshakomaa
Wasio na kazi wanashindia story za Freemason - Kala jeremiah.Frewmason waikwambiaa hata utembeewe uchi utatembeaaaa tu