Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya.
 
Mh kaamua kweli au ndo mwendo wa vipara kama mama baba ubaya na mama ubaya hongera zake kwa mwendo wa vipara
 
Mwache apige pige picha tu Kiba keshamaliza kazi
Baada ya wiki kadhaa nyota inageka kwa kiba Domo muda wake umeisha
 
Mwache apige pige picha tu Kiba keshamaliza kazi
Baada ya wiki kadhaa nyota inageka kwa kiba Domo muda wake umeisha

Mmh nimesikia ngoma yake ni full shidaa, ndomo ajipange sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom