Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kusema kweli kajua kunoga, hivi alikua anafanya makusudi au alikua anategea kiki? Kusema kweli page ya wema ilikua haina mvuto, especially picha anazopost ukilinganisha na mastaa wengine kama zari, lulu, hamisa na Tunda, yani alikua anajipostia tu picha utadhani akina Rachel dangwa.

Safari hii naona wema kaamua kurudi kwenye level zake, Safi sana mama ubaya, kwa uzuri tu inshallah uliumbwa, kazana tu kupigania jina lako ambalo lilikua linakosa mvuto siku za hivi karibuni, hata kama huna IPhone 7 ,jitahidi uazime simu au utafute ma camera man wazuri, picha zako kwa kweli insta hazivutii tofauti na hii, yani hapa si hamisa, wala zari, hawafui dafu, kazana mama ngina, warumi nakusapoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…