Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

warumi nilikumiss mwayego!
yani nilikumisiiiiiiiiiii !ehehehehhehe maubuyu yanapita hata haupo hayanogiiiiii!
I hope umerud for good!
 
Nimerudi for good mwaego, miss you too binamu
kuna hili la #niache# na #sikomi# EHEHEHEHHEHHEE KAMA ULIANZISHIE SREDI VILE TULILE NYAMA VIZURI KWA ILE STYLE YETU YA KUUMA NA KUPULIZA!ahahahhahahaha huwa nacheka mpk basi
 
Anayenitaka aninunulie IPhone 7, sitaki wanaume suruali mimi, aaah
Aaah binamu IPhone 7 Leo? Hujui habari ya mjini ni IPhone 8 na X? Daah nimechukia kujikuta natumia simu model moja na Zari ngoja nikaombe nitengenezewe yangu!!
 
kosa kubwa sana kumlinganisha zari na huyu,
zari ni wa kimataifa, havai sponji mwache mama wa watu.
 
Ukitaka kujua wema ni mbaya avae kimini.

Ana viguu vyembamba mno vinavyobeba li hips hiloo

Pia michirizi ya kwenye maziwa utafikiri alichapwa mijeledi 500
Ndio wanyaturu walivyo. PLUS kukuketwa. Just joking
 
Aaah binamu IPhone 7 Leo? Hujui habari ya mjini ni IPhone 8 na X? Daah nimechukia kujikuta natumia simu model moja na Zari ngoja nikaombe nitengenezewe yangu!!
Ina maana binamu unatumia S8 , Maana zari hana iPhone, anapendaga sana Samsung...

Binamu najua sana kuna iphone 8 na X, ila nimewapa punguzo kidogo wajikwinye iPhone 7, najua mziki wa 8 hawaufikii, lol

I miss you binamu, umepote, nicheki inbobo
 
Yeah binamu mi pia napenda samsung, niko na S8 pia.

Miss you too binamu nitakucheki nikipata wasaa!!
 
Back
Top Bottom