Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Wema mrembo na mzuri sana kuliko Zari.. na figure na ni mrefu, mrs almas high heels zinamsetiri sana. Na make up plus 360.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALIPENDEZA SANA!Nampenda wema ila nguo alizovaa si za kwenye party
KeMeHivi Warumi ni Ke au Me?
kuna hili la #niache# na #sikomi# EHEHEHEHHEHHEE KAMA ULIANZISHIE SREDI VILE TULILE NYAMA VIZURI KWA ILE STYLE YETU YA KUUMA NA KUPULIZA!ahahahhahahaha huwa nacheka mpk basiNimerudi for good mwaego, miss you too binamu
Aaah binamu IPhone 7 Leo? Hujui habari ya mjini ni IPhone 8 na X? Daah nimechukia kujikuta natumia simu model moja na Zari ngoja nikaombe nitengenezewe yangu!!Anayenitaka aninunulie IPhone 7, sitaki wanaume suruali mimi, aaah
Ndio wanyaturu walivyo. PLUS kukuketwa. Just jokingUkitaka kujua wema ni mbaya avae kimini.
Ana viguu vyembamba mno vinavyobeba li hips hiloo
Pia michirizi ya kwenye maziwa utafikiri alichapwa mijeledi 500
weweeeeeeeeeeeeeeeeeHuenda ana vimiguu vya kichagga
Vipi mkuuweweeeeeeeeeeeeeeeee
Huko chini ni spoku tupuKwa nini havai suruali tighta au vimini??
Ina maana binamu unatumia S8 , Maana zari hana iPhone, anapendaga sana Samsung...Aaah binamu IPhone 7 Leo? Hujui habari ya mjini ni IPhone 8 na X? Daah nimechukia kujikuta natumia simu model moja na Zari ngoja nikaombe nitengenezewe yangu!!
Yeah binamu mi pia napenda samsung, niko na S8 pia.Ina maana binamu unatumia S8 , Maana zari hana iPhone, anapendaga sana Samsung...
Binamu najua sana kuna iphone 8 na X, ila nimewapa punguzo kidogo wajikwinye iPhone 7, najua mziki wa 8 hawaufikii, lol
I miss you binamu, umepote, nicheki inbobo