Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Wema kiasilia ni mzuri sana, asingejiharibu haribu na madude ya kichina angekuwa tishio sana!Hizi picha zake za leo naziangilia mara mbili mbili kweli Mungu kamjalia
Wema mzuri bila hata make up nishawahi muona mara moja n mzur balaaWakawaida sana.
Ukiondoa hayo mazagazaga ya bandia na kuedit mwonekano wa picha, huyo binti ni wakawaida sana.
EewalaaTunasemagaa MUNGU FUNDI BWANA
Mzur mpaka ndan hana kasorovip mzur mpka ndan...?
Kimini kavaa leoKwa nini havai suruali tighta au vimini??
Itabidi ukamuulize diamond au idrisHuyu kweli anaweza kukatika huyu sita kwa sita?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli mkuuItabidi ukamuulize diamond au idris
Hakiyanani wallahi.Miguu spoko
dah ....miguu kama mtoto njiti
Sijaongelea mapenzi hata... bali editingWanampenda hivyo hivyo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee watu mna majibuKama sio me lazma ni ke
Yani jinsia yake inacheza hapo
Mzee utamiminiwa mbege chini.. Ooh .. Endelea tu..tukusahau [emoji4]Huenda ana vimiguu vya kichagga
Dah huu mguu, huo mwonekano kwenye kiatu inakua kama kijiko ndani ya glass...