Picha: Muuza Madafu katika majukumu yake ya kiserikali.

Picha: Muuza Madafu katika majukumu yake ya kiserikali.

Nimelinganisha masikio tu,ngoja kwanza niende maabara nikajiridhishe...
 
Hahaha! Ni Joram Kiango huyo
Ndiyo huyo huyo si nasikia alijisomesha masomo ya ukomando nchi sita huko Marekani ,India ,Cuba na Ujerumani na zinginezo alafu aliporudi nchini akaanza kusambaza maombi ya kumuazima kwa kazi maalumu hivyo lazima tutamuona katika vyombo vingi maana yeye ni komando na jasusi binafsi anakodiwa na kila jeshi
 
Jana selikali yetu hakika ilikuwa na hofu ndomana wakapenyeza makomando wa jw kama polis wa kawaida..lait wangejua kuw nao raia walikuw na hofu na usalama wao hata wacngeingia ghalama za kuwatoa kambn na kuandaa posho kwa hao jw kwa kuhofia polc kuzdw.. Kwa cc maafisa ubashir hapo ilikuw n gg. Selikal hof, wananch hof..
 
Nina wasi wasi Wanajeshi wengi walivaa sare za askari polisi jana.
Si kama kilichotokea Zanzibar ,yale mauaji na unyama uliofanywa na magufoool na genge lake la vibaka hawa , Tanzania ni nchi ambayo inatumia jwtz kuua na kukandamiza raia , ni nchi ya ovyo isiyo na tofauti na shitholes nyingine
Jwtz majukumu yake ni kulinda mipaka ,ila utashangaa jwtz huwa wanatumika mpaka kwenye utekaji na mauaji ya civilians ,kama mauaji ya 2020 baada ya uchaguzi Zanzibar , kule Mkiru , mauaji ya 2001 enzi za mkapa kule Zanzibar wakati wa uchaguzi .
Hawa vibaka wa jwtz walipelekwa kule kufanya genocide na unyama mkubwa wakiwa wamevaa jezi za polisi , kiufupi Tanzania vyombo vyote vya dola wanatumika kama condom na ccm .
Kuna watu hawajiulizi polisi walipata wapi guts za kuua askari mstaafu wa jeshi , hata hii death squad ya utekaji na mauaji itakuwa imendwa na magenge yote ya dola yote jwtz ,polisi ,TISS ,magereza nk .
Hawa washenzi wote ni takataka ,hamna mwenye nafuuu
 
Alafu mnataka watu wadukue taharifa za Marekani au Urusi. Tz bado sana tena sana.
 
Kwenye operation hizi hata JWTZ wanaweza kuvalishwa kipolisi
 
Wa Tz wengi ni kama nyumbu wanapenda kupeana stori za kufikirika we kwa akili yako unaona wanafanana hao?
 
Back
Top Bottom