Death of stalin..! Daah hii muvi nilicheka mpaka mbavu zukauma..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hao jamaa maisha yao yalikuwa namna hyo bongo na jiwe letu tukasome..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaaa mkao wa kula, Avatar film 2 & 3 is coming.. - JamiiForumsEqualizer 2, fall out, but vipi kuhusu avatar 2 haitoki mwaka huu
The Nun.
eehaha.Nmeangalia mwanzo tu nikaona ya kisenge nikaiacha
Ant Man, Ready player one na anihillation ndo sijaziona
Kabisa yani.. yaani ni bora mara mia ya hereditaryeehaha.
Horror za siku hizi sio bomba kama za zamani, ila mi ntaiangalia tu saabu iko kwenye The Conjuring Series.
Duh bado sana, Cameron ndo pekee anawezaga kuvunja rekodi zake sio marvel wala bro.
Hizi hapa kiongozi..Duh bado sana, Cameron ndo pekee anawezaga kuvunja rekodi zake sio marvel wala bro.
BTW, hakuna movie yoyote ya Sam Worthington, maana me naangalia movia kwa majina otherwise ni series tu
Ubarikiwe mkuu, weekend itakuwa njema sanaHizi hapa kiongozi..
Year Title Role Notes 2000BootmenMitchell Okden2001A Matter of LifeOur HeroShort film2002Hart's WarCpl. B.J. "Depot" GuidryDirty DeedsDarcy Ryan2003Gettin' SquareBarry "Wattsy" Wirth2004SomersaultJoeThunderstruckRonnie2005The Great RaidPfc. LucasFink!Able2006MacbethLord Macbeth2007RogueNeil KellyLimited release2009Terminator SalvationMarcus WrightAvatarJake Sully2010Clash of the TitansPerseusLast NightMichael ReedLove & DistrustMilesSegment: "Blue Poles"2011The DebtYoung David PeretzTexas Killing FieldsDetective Mike Souder2012Man on a LedgeNick CassidyWrath of the TitansPerseus2013DriftJBLimited release2014SabotageJames "Monster" MurrayCakeRoy CollinsThe Keeping RoomMosesLimited release2015Paper PlanesJack WebberLimited releaseKidnapping Freddy HeinekenWillem HolleederLimited releaseEverestGuy Cotter2016Hacksaw RidgeCaptain Glover2017The ShackMack PhilipsThe Hunter's PrayerStephen LucasDirect-to-VOD2018The TitanRick JanssenTV movie2020Avatar 2Jake SullyFilming2021Avatar 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]