Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Huu ni moja ya miaka ambayo hakukuwa na movie nyingi nzuri.

Commuter, Den Of thieves, Black Panther, Tomb Raider. Kwa chache ninazozikumbuka.
 
Predator
John English
Jurassic world
The Meg
Spy who dump me
Black panther
Avengers=inatoka nyingine March naisubiria kwa hamu
 
Aquamon inatoka December, venom mwezi huu
 
A-Star-Is-Born-poster-2.jpg

ngoja tumsubirie na bradley cooper
 
Sicario 1&2 leading acto r Toro kama anamuiga Danzel kwa mbali. Anatakiwa apunguze kitambi na afanye action nyingi zaidi za ngumi anaweza kumfikia welberg au John wick anayeanza kuharibu ktk Siberia.
 
Den of thieves, black panther, avengers... ila den of thieves nzur mwisho wake deal lenyewe waliilocheza kaenda faidi dogo wa club na yule jamaaa alikuwa mzee wa mawasiliano.. hata avengers nayo hhahaaha vituko balaa ila n hot sana. Hizo nyingine nitazitafuta ngoja nikuffolow
 
Jurassic world
Black panther
Avengers

Naona kuna watu mpo location kabisaaa
Hahaaaaa napenda sana muvi sioni burudani nyingine zaidi ya muvi,muziki na watoto wazuri
 
Den of thieves, black panther, avengers... ila den of thieves nzur mwisho wake deal lenyewe waliilocheza kaenda faidi dogo wa club na yule jamaaa alikuwa mzee wa mawasiliano.. hata avengers nayo hhahaaha vituko balaa ila n hot sana. Hizo nyingine nitazitafuta ngoja nikuffolow
Nawe mdau Wa hivi vitu? Safi sana no stress hafu hutumii gharama kubwa.sana.
Kwanini wataka unifolow
 
Tunasoma sema kwa rate ndogo siyo kama ilivyo movies.
hebu weka mamuvi yenye ladha ya kina comey yaani ya kijasusi hata ya kuanzia 2017 mpaka sasa makali kabisa kabisa ambayo nitalazimika kuyarudia na kuyarudia
 
Back
Top Bottom