Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Death of stalin..! Daah hii muvi nilicheka mpaka mbavu zukauma..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hao jamaa maisha yao yalikuwa namna hyo bongo na jiwe letu tukasome..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwn ni comedy au?? sjaiona hy muv asee
 
Umecheki Mission Fallout lakini!?.. Na Venom tarehe 5 inakuwa out mzee!...
Cuzz Malcom Lumumba Legion kwa kweli sijaelewa imepataje soko, its too confusing.
Hahahahaha,
And its very very dark.
Inahitaji fully fledged Parental Guide.
BTW Predetor is the breath of fresh air, nimeipenda sana!
 
Back
Top Bottom