James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Ya kiboya hii labda mwendelo wake utakuwa mzurihv hyo den of thieves ni nzur kwel? mana nnayo kwe pc af cjawah iangalia, nilii preview kdg nkaona km ya kiboya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kiboya hii labda mwendelo wake utakuwa mzurihv hyo den of thieves ni nzur kwel? mana nnayo kwe pc af cjawah iangalia, nilii preview kdg nkaona km ya kiboya
Death of Stalin achana nayo ni uppuzi tuntaisaka bc.. na hii operation red sea naona watu wanaisifia
freshy 2 man,,mi muda wngu jmoc jion na j2 a whole day, cku za kati ya wk nakuwa kibaruan town,ila napo tunaeza somana tu mida ya lunchHays tupange
Si ile wanatafutwa watu dizaini yake!?..Content naona hawajaachana mbali na doctor strange
Hahaha bado najiuliza ilikuaje predator likamuacha yule doctor lilipoamka!?..Hahahahaha,
And its very very dark.
Inahitaji fully fledged Parental Guide.
BTW Predetor is the breath of fresh air, nimeipenda sana!
That's my new suit Baba...Hahaha bado najiuliza ilikuaje predator likamuacha yule doctor lilipoamka!?..
Ila ile predator killer suit ni noma!..
sequel yake wamesema inafata lini!?..That's my new suit Baba...
Halafu kumbe yale ni friendly Predetor (Yautja)
Wameonyesha kwenye Cutscenes kwamba kumbe yanaishi Area 51.
Kuna Invasion ambayo Predetors wanapanga waje waifanye hapa duniani.sequel yake wamesema inafata lini!?..
Ina maana yalienda kuiiba ile suti kwenye planet yao?..
Kwa hiyo predator itaendelea?lakin yanaua watu vibayaa mweeeKuna Invasion ambayo Predetors wanapanga waje waifanye hapa duniani.
Ndiyo maana wametuma Hybrids Predetors kuja kuwasaka wale Predetors wengine.
Sasa kuna Professor moja aliwahi kufanya contact na Predetors miaka ya nyuma sana sanaa.
Ndiyo wakakubaliana kusaidiana ili kuzuia ile Invasion, wakawa wanakaa Area 51. Ile suti "The Predetor Killer" iliibwa ili kuwasiaidia binadamu wapambane na Invasion ya Hybrid Predetors.....
Iko pouwa sana mkuu.hv hyo den of thieves ni nzur kwel? mana nnayo kwe pc af cjawah iangalia, nilii preview kdg nkaona km ya kiboya
Mimi napenda sana series za kimarekani za kijasusi, sijui unazo mkuu ?Dar! Nahitaji watu was kubadilishana nao muvii
🙄😳😀😀😀Hivi kuna watu kweli mpka leo hii wanaangalia movie za INDIA?????
Yajayo yanafurahisha!..Kuna Invasion ambayo Predetors wanapanga waje waifanye hapa duniani.
Ndiyo maana wametuma Hybrids Predetors kuja kuwasaka wale Predetors wengine.
Sasa kuna Professor moja aliwahi kufanya contact na Predetors miaka ya nyuma sana sanaa.
Ndiyo wakakubaliana kusaidiana ili kuzuia ile Invasion, wakawa wanakaa Area 51. Ile suti "The Predetor Killer" iliibwa ili kuwasiaidia binadamu wapambane na Invasion ya Hybrid Predetors.....
Cuz hiyo nilikosa muda nikaondoka mapema sanaaa!Yajayo yanafurahisha!..
Ila na MI: Fallout umeicheki cuz!?.. Kuna mchina aligawa dozi si mchezo![emoji23]..
Predators huko waliko wanataka kuja Ku colonise earth. Yule mmoja hajakubaliana nao akaiba siraha ya kuwaangamiza ndo ile armor akajanayo yule mwingine akatumwa na mbwa aje amhunt down. Itakayofuata itakuwa nzuri zaidi coz watataka kujua nini kilitokea kwa hunter given tecnology yao watajua wote wakiohusika. Pia itatakiwa watuneshe kilitikea nini huko mpaka waitakr earth.Kuna Invasion ambayo Predetors wanapanga waje waifanye hapa duniani.
Ndiyo maana wametuma Hybrids Predetors kuja kuwasaka wale Predetors wengine.
Sasa kuna Professor moja aliwahi kufanya contact na Predetors miaka ya nyuma sana sanaa.
Ndiyo wakakubaliana kusaidiana ili kuzuia ile Invasion, wakawa wanakaa Area 51. Ile suti "The Predetor Killer" iliibwa ili kuwasiaidia binadamu wapambane na Invasion ya Hybrid Predetors.....
Hii ilielezea haya yote, sema tu walizitoa hizo sehemu.Predators huko waliko wanataka kuja Ku colonise earth. Yule mmoja hajakubaliana nao akaiba siraha ya kuwaangamiza ndo ile armor akajanayo yule mwingine akatumwa na mbwa aje amhunt down. Itakayofuata itakuwa nzuri zaidi coz watataka kujua nini kilitokea kwa hunter given tecnology yao watajua wote wakiohusika. Pia itatakiwa watuneshe kilitikea nini huko mpaka waitakr earth.
Kuna nyingine ina idea kama hii inaywa Extinct na nyingine Kin ingawa hii Kin si nzuri saaana labda ktk mwendelezowake itakuja kuwa bomba zaidi