Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

-SICARIO...

-EQUALIZER 2 naitafuta bado sikosagi movie za denzel

-MILLE 22

-OPERATION RED SEA kwa wapenz wa movies za military rescue mission

-DEN OF THIEVES only cos of Curtis Jackson
"Operation Red sea" pamoja na "the Dawn of justice" wallahi hizi movie unaweza angalia mwezi mzima labda Luku ikate.
 
Den of thieves, black panther, avengers... ila den of thieves nzur mwisho wake deal lenyewe waliilocheza kaenda faidi dogo wa club na yule jamaaa alikuwa mzee wa mawasiliano.. hata avengers nayo hhahaaha vituko balaa ila n hot sana. Hizo nyingine nitazitafuta ngoja nikuffolow
hii inaonekana ina part 2 kwasababu donnie mwishoni anaonekana yuko london alafu mchizi anayefanya kazi kwenye diamond shop anataka kujichanganya
 
Kuna ==>kickboxer Retalion (ronaldinho, van damme, tyson wote ndani)
==>Money heist 2 (netflix huko kila ukiingia lazima uone japo trailer)
==> bleeding steel (babu jack chain karudi tena)
==> black water (mkongwe van damme anajikuta mtabe na mwisho wa siku anakamatika kiboya)

Ngoja nisubiri IP MAN 4
(Scott adkins_boyka vs donnie yen)
.

ngoja nichek hiyo ya bleeding steel najua kutakua na vichekesho na kuhuzunisha ndani yake
 
mm nimeona tatu hapo, BLACKPAINTHER, 22 MILE NA HIYO YA DUBWANA #RAMPAGE
 
Hivi kuna watu kweli mpka leo hii wanaangalia movie za INDIA?????
 
Jamaa alikuwa detective lakin akajikuta kastaafu pamoja na kupoteza mtoto wake ambae alifanyiwa artificial implantation ya moyo kama sijakosea halafu akawa anawindwa na spirit tofauti tofauti. Halafu mtoto wake hakutaka kumjua kabisa
ngoja nichek hiyo ya bleeding steel najua kutakua na vichekesho na kuhuzunisha ndani yake
 
Back
Top Bottom