Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Ipatie muda aseh uone mchina alivyogawa dozi kwa hunt na mwenzie, walikua wawili lakini aliwapa dozi moja matata sana!..Cuz hiyo nilikosa muda nikaondoka mapema sanaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipatie muda aseh uone mchina alivyogawa dozi kwa hunt na mwenzie, walikua wawili lakini aliwapa dozi moja matata sana!..Cuz hiyo nilikosa muda nikaondoka mapema sanaaa!
Extinct ya kishamba sana haina thrill kuiangalia!..Kuna nyingine ina idea kama hii inaywa Extinct na nyingine Kin ingawa hii Kin si nzuri saaana labda ktk mwendelezowake itakuja kuwa bomba zaidi
Hahahaha,Ipatie muda aseh uone mchina alivyogawa dozi kwa hunt na mwenzie, walikua wawili lakini aliwapa dozi moja matata sana!..
Maze runner ya hovyo bora Grinch..Extinct ya kishamba sana haina thrill kuiangalia!..
Halafu kisa chake naona hakijapangiliwa vizuri!. Inakuaje binadamu watengeneze zile A.I halafu ziwafukuze duniani zaidi ya miaka 50 mpaka binadamu warudi duniani still wakute zile A.I zipo vilevile hazija age hata kidogo!.
Haikufikirishi kivile ipo sawa na ile Patient Zero nayo ya kawaida tu!.
scorch trial kweli mbaya lakini ile ya kwanza na hii Death cure mzee!!..Maze runner ya hovyo bora Grinch..
You mean Grinch who stole the xmaxMaze runner ya hovyo bora Grinch..
True , lakini technology ndo inataka hivi Mzee. Wewe unapendaga kama zipi?Siku hizi ma movies haya ya hollywood computer imekua nyingi mno hazina uhalisia kabisa.
Hyo ya sasa n pt 2The equalize imetoka tena? Mi nafahamu ni ya muda mrefu
Zimekakaa kitotototo ila huwa zina story Kali km ukizielewa km ile Predator killer ni kwamba Yale majitu yanaishi sayari nyingine yamekuja Duniani kuna kisasi wanakifanyaSiku hizi ma movies haya ya hollywood computer imekua nyingi mno hazina uhalisia kabisa.