Picha:Mwana HIP HOP nguli JCB afunga ndoa na Diana Jørgensen

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720


Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha.

Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha ndoa

Mtu mzima nae akidondosha wino

Ndugu jamaa na marafiki waliofika kushuhudia tukio hilo la kipekee
 
haya ni Yale .ni matokeo ya utalii ulee....!
 
Inaonekana walikuwa wanapasha kiporo tu,naona kama wana mtoto/watoto tayari.....hongera sana very simple!Utalii kwa wazungu unalipa sana maana wanawekeza kwa vijana wa kitanzania...
 
I fall in love with mazingira..green safi sana...Arusha nitakuja!!
 
hawa madem wa kizungu wanapatikana pale maasai camp moshono, wanakuja huku tz kama ma - volunteer ila mwisho wa siku wanaoa vijana wetu ambao ni ma jobless!
 
kilichonivutia ni aina ya ndoa iliyofungwa.
dah! kama vile wanakwenda shopping?
 
kilichonivutia ni aina ya ndoa iliyofungwa.
dah! kama vile wanakwenda shopping?

hii ndoa safi sana hakuna mwenye uhakika kumumiliki mwenzake maisha akikuzingua hakuna cha paroko wala sheikh kuja kusuruhisha..
 
hii ndoa safi sana hakuna mwenye uhakika kumumiliki mwenzake maisha akikuzingua hakuna cha paroko wala sheikh kuja kusuruhisha..

hahahahhahaahaahahahah! dah! kweli duniani kila mtu na style yake ya maisha
 
kilichonivutia ni aina ya ndoa iliyofungwa.
dah! kama vile wanakwenda shopping?

Mmmh nzuri hakuna habari ya kitchen wala sendoff. Mi naona kama vile wanatiza masharti ya kutoa spouse visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…