Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720

Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha.
Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha ndoa
Mtu mzima nae akidondosha wino
Ndugu jamaa na marafiki waliofika kushuhudia tukio hilo la kipekee




