Ndoa ya kimasrahi hii
hamna kitu hapoMnatotaka wazungu nendeni Get your body right aka Team Sexy
Mnaotaka wazungu nendeni Get your body right aka Team Sexy
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki ....hawa madem wa kizungu wanapatikana pale maasai camp moshono, wanakuja huku tz kama ma - volunteer ila mwisho wa siku wanaoa vijana wetu ambao ni ma jobless!
Mmmh nzuri hakuna habari ya kitchen wala sendoff. Mi naona kama vile wanatiza masharti ya kutoa spouse visa
kilichonivutia ni aina ya ndoa iliyofungwa.
dah! kama vile wanakwenda shopping?
Spouse visa, mwenyewe ulishafika Denmark ukaona kuna dili, au?
Hapa ni two-way street, hakuna aliyemlazimisha Mzungu anayeishi Tanzania kufunga ndoa na Mtanzania.
Halafu, kwa taarifa yako, Denmark hamna kitu, ni baridi na ubaguzi kwa kwenda mbele!