Picha:Mwana HIP HOP nguli JCB afunga ndoa na Diana Jørgensen

Picha:Mwana HIP HOP nguli JCB afunga ndoa na Diana Jørgensen

nilimsikia via media anasema kuna ishu anafatilia na inabidi apeleke cheti cha ndoa fasta. Bt atafunga ndoa kanisani KKKT na atafanya sherehe
 
Mwezi May ataenda kanisani na kualika wadau na ndugu jamaa zake kwa sherehe!sasa naona anataka kusafiri...docs za ndoa zahitajika!
 
Nimempiga sound balaaa! Mpaka ananiita baby!..... Si mnakumbuka hili tangazo?
 
Mmmh nzuri hakuna habari ya kitchen wala sendoff. Mi naona kama vile wanatiza masharti ya kutoa spouse visa

Spouse visa, mwenyewe ulishafika Denmark ukaona kuna dili, au?

Hapa ni two-way street, hakuna aliyemlazimisha Mzungu anayeishi Tanzania kufunga ndoa na Mtanzania.

Halafu, kwa taarifa yako, Denmark hamna kitu, ni baridi na ubaguzi kwa kwenda mbele!
 
Jamani mnafkiri kila Mtu kuoa Mzungu ni kwa ajili ya kwenda mbefele? Diana na JCB wako pamoja over three years na wana mtoto.. Diana kamaliza contract na School of st Jude hivi karibuni but nahisi wana mpango wa kukaa bongo. Kwa Arusha kijana kuowa Mzungu ni kitu CHA kawaida sana especially UKIWA Mtu wa mitaa ya Viavia na Maasai camp, no wonder watengwa almost wote wana wake wazungu, unafikiri hawapendi kuolewa na Arachuga celebrities !! Wanakuwa safe hata vibaka ni rare sana kuwakaba big up Shem Doreen
 
Back
Top Bottom