Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

Hiyo migogoro inapandikizwa,nilijua kurudi kwa Kinana ndio Bingwa wa kutuma Bundi kwenye makao ya Wapinzani

Chadema tuweni makini sana.
 
James Mbatia ni Sukuma Gang na alianza kuparura sasa anapapaswa ipasavyo

Mtoto aliezaliwa wakati Mbatia anakuwa Chairman wa NCCR sasa hivi ana miaka 22
 
Nawaza tu kama Uvccm mnaweza kukipambania chama chenu kama huyo Mwenezi wa NCCR Mageuzi!

Maana wengi wenu mko mlenda mlenda sana.

Hao wana rungu la polisi nyuma yao. Wao kazi ni kuimba mapambio tu.
 
Huyu ndio anajua kupambania chama.
View attachment 2234589
Huyu si ndio siku anahama CHADEMA alimtolea matusi Mbowe kuwa hakuna Demokrasia. Leo hii naye analialia NCCR kuwa wanaporwa chama??

Ndio mjifunze kwamba Mbowe is much better than hao wenyeviti wengine. CHADEMA kimepitia vurugu nyingi ila chama kipo imara mpaka Leo ila NCCR,TLP,UDP, na CUF vilikufa kwa sababu ya migogoro.

Long live CHADEMA
 

Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…