Kwa hiyo John Cheyo na UDP yake naye ni Mchaga! Jonh Shibuda na chama chake cha mfukoni, naye ni Mchaga!Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!
Mbatia anahusika vipi? Sio kwamba yeye ndio anahujumiwa?Huyu si ndio siku anahama CHADEMA alimtolea matusi Mbowe kuwa hakuna Demokrasia. Leo hii naye analialia NCCR kuwa wanaporwa chama??
Ndio mjifunze kwamba Mbowe is much better than hao wenyeviti wengine. CHADEMA kimepitia vurugu nyingi ila chama kipo imara mpaka Leo ila NCCR,TLP,UDP, na CUF vilikufa kwa sababu ya migogoro.
Long live CHADEMA
Na mama yako naye si jina lake linaanza na herufi M?Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!
Huyu ndio anajua kupambania chama.
View attachment 2234589
Kweli kabisa !! Siasa inalipa vizuri !!Huyu ndio anajua kupambania chama.
View attachment 2234589
Waulize chadema hilo swali maana wanajiita makamanda.Nawaza tu kama Uvccm mnaweza kukipambania chama chenu kama huyo Mwenezi wa NCCR Mageuzi!
Maana wengi wenu mko mlenda mlenda sana.
Mziray (Peter Kugi)Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!
UDP ni Cha mchagga? CUF ni Cha mchagga? Mbona vimekufa wakati vilikua vyama vikubwa.Kwa kifupi chama chochote ambacho mwenyekiti wake ni mchaga huwa kinakufa kimya kimya! Mrema, Mbowe, Mbatia ( MMM). Angalieni herufi hizo kwenye mabano!
Much better CHADEMA kina members zaidi zaidi ya million 4 kuna upinzani Gani unakaribia au umewahi kufika hiyo namba??Mbatia anahusika vipi? Sio kwamba yeye ndio anahujumiwa?
Mbowe is much better kwa kipi? Kukaa madarakani kwa miaka 25?
Wanachama mil 4????Much better CHADEMA kina members zaidi zaidi ya million 4 kuna upinzani Gani unakaribia au umewahi kufika hiyo namba??
CHADEMA ipo Kila mtaa na Kijiji nchi hii je kuna upinzani mwingine katawanyika hivyo???
Kwani toka 2010 kuna uchaguzi wowote tumepata kura chini ya million 2?? Sasa what's shocking kuwa na members million 4!! Hao CCM mbona walidai Wana members 16 million na sikuona mkishangaa!!!Wanachama mil 4????
Unazungumzia Chadema ya Dk Slaa ambayo mwaka 2010 ilikuwa na nguvu karibu kila center za vijijini na ikazoa madiwani kibao?Much better CHADEMA kina members zaidi zaidi ya million 4 kuna upinzani Gani unakaribia au umewahi kufika hiyo namba??
CHADEMA ipo Kila mtaa na Kijiji nchi hii je kuna upinzani mwingine katawanyika hivyo???
2020 CHADEMA walipata kura MIL 1.9 au hiyo si chini ya MIL 2??Kwani toka 2010 kuna uchaguzi wowote tumepata kura chini ya million 2?? Sasa what's shocking kuwa na members million 4!! Hao CCM mbona walidai Wana members 16 million na sikuona mkishangaa!!!
CHADEMA ni msingi imesajili wanachama million 6 sema ukitoa walio na kadi za vyama viwili, waliohama n.k ndio tuna round off 4 million core members nationwide.
Voter turnout ilikua 100%? Kwamba wanachama woteee walipiga kura? Kingine credibility ya uchaguzi ule ipo questionable mpaka Leo yaani chama kipate kura almost 2M alafu kikose hata kata moja?? Hivi ni realistic kweli? Hata 2005 tulipopata kura laki 5 pekee tulipata walau halmshauri 2 na wabunge 11 total.2020 CHADEMA walipata kura MIL 1.9 au hiyo si chini ya MIL 2??
UDP ni Cha mchagga? CUF ni Cha mchagga? Mbona vimekufa wakati vilikua vyama vikubwa.
We kichaa nini we si umesema hawajawahi kupata chini ya Mil 2??Voter turnout ilikua 100%? Kwamba wanachama woteee walipiga kura? Kingine credibility ya uchaguzi ule ipo questionable mpaka Leo yaani chama kipate kura almost 2M alafu kikose hata kata moja?? Hivi ni realistic kweli? Hata 2005 tulipopata kura laki 5 pekee tulipata walau halmshauri 2 na wabunge 11 total.
So takwimu za NEC sio realistic kivile