Uchaguzi 2020 PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma

Kikao kigumu sana kufuatia wagombea wengi kuwa na tuhuma za rushwa zisizo thibitishwa na Takukuru kuhofia mfumo.
 
Bavicha watakwambia kwanini huyo mwanajeshi anamsaidia Magu kubeba makabrasha ya ccm?
Nadhani hii ni kuendelea kumu-endorse mgombea wa CCM aonekane kuwa Urais ni Mali yake kwa miaka mitano ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…