Uchaguzi 2020 PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma

TRUMPLIZATION,

Mheshimiwa amekuwa mnyonge sana toka Tundu Lissu aliporejea hapa nchini. Lakini ni lazima tumpe kila la heri ktk kinyang'anyiro ambacho anakabiliana nacho. Kutokana na mchakato wa kidemokrasia, inapawapasa Watanzania kuamua.
 
labda wabebwe tu na Tume na kwa kushirikisha na wakurugenzi.
Wanasema, Wala usimpe Ibilisi nafasi,

mkuu, Kwa maneno yako hayo huna kabisa tumaini, hata moyoni mwako unajua kanisa CCM hasa Kwa kipindi hiki cha huyu jamaa, mmepata Sana kura Temu hii, ni robo ya alichopataga Yule wa mabadiliko,2015
 
Mheshimiwa amekuwa mnyonge sana toka Tundu Lissu aliporejea hapa nchini. Lakini ni lazima tumpe kila la heri ktk kinyang'anyiro ambacho anakabiliana nacho. Kutokana na mchakato wa kidemokrasia, inapawapasa Watanzania kuamua.
Kukusanyana wadhamini kimya kimya ni unyonge? Mtu mmoja alinuiliza hivyo.
 
Cham chao bila jeshi la polisi hawashindi uchaguzi huu
 
Vile wapiga kura tunavyojitaidi kuuelewa uchumi wa kati...kura yangu ni ya lisu acha ipotee.
IMG_20200818_205458.jpg
 
Wanasema, Wala usimpe Ibilisi nafasi,

mkuu, Kwa maneno yako hayo huna kabisa tumaini, hata moyoni mwako unajua kanisa CCM hasa Kwa kipindi hiki cha huyu jamaa, mmepata Sana kura Temu hii, ni robo ya alichopataga Yule wa mabadiliko,2015
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom