Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko ya katibaKuna shida?
Huu ni uwendawazimu, Shughuli za Chama zinafanyikaje katika Ikulu Takatifu??
Ngoja tuone habari za leoMama naye anajipinduapindua sana,mkutano mkuu wa CCM uliopita aliomba ridhaa ya chama kuipanga upya Serikali na CCM ikampa ridhaa hiyo lakini hatujaona lolote anaishia kulalamikia wapigaji kama tunavyolalamika sisi,kama vipi aachie ngazi vikao kila siku bila vitendo ni kutufanya wananchi hatuna akili. Vyombo vyake vimemsaidia kuainisha kila panapovuja sasa anataka nini tena?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mama asafishe kambi yake sisi Chadema hatutaKi aishie kulalamika tu.Mama naye anajipinduapindua sana,mkutano mkuu wa CCM uliopita aliomba ridhaa ya chama kuipanga upya Serikali na CCM ikampa ridhaa hiyo lakini hatujaona lolote anaishia kulalamikia wapigaji kama tunavyolalamika sisi,kama vipi aachie ngazi vikao kila siku bila vitendo ni kutufanya wananchi hatuna akili. Vyombo vyake vimemsaidia kuainisha kila panapovuja sasa anataka nini tena?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Achen bas tule mema ya nchiTanzania ya sasa shida itoke wapi
😂😂😂 achen midomoMabadiliko ya katiba
Kweli, asiishie kulalamika na kustupidisha tu, achukue hatua.Mama asafishe kambi yake sisi Chadema hatutaKi aishie kulalamika tu.
Tena aanze na Mwanae.
Kwani bei ya ndege kupanda toka $37 mil mpaka $87 mil ni cha mtoto?Kuna shida?