Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣🤣 Kula chuma hichooo 🤣tunawatakia kikao chwnye mafanikio.
Tunamuombea Rais wetu Mungu aiendelee kumpa busara na hekima ili aweze kuwabaini wasaidizi/watendaji wasio waadilifu, wenye nia ya upigaji, na kwa mamlaka aliyo nayo awaondoe haraka kabla ya kuleta madhara.
Tunamuombea Mungu apate wasaidizi waadilifu, waaminifu, watiifu na wazalendo kwa Nchi na wananchi