PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu Ikulu Dar es Salaam

🤣🤣🤣 Kula chuma hichooo 🤣
 
Amna kitu hapo kati ya wezi waliotajwa asalimia 80 wapo hapo unategemea nini
 
Katiba mpya ni muhimu ,why kikao cha ccm kifanyike state House na sio Lumumba street?,my President hii sio na ni kosa, kodi yangu haiwezi kutumika kwenye political parties, pls hamishia kikao Lumumba street (kwenye centre of power)
Acha wivu
 
Wamekaaa kwa umakini hapo kwerikweri

Ova
 
Kwa nini KM Chongolo katangulia kabla ya MM Kinana?

Kiprotokali haijakaa sawa
 
Vikao vya chana vifanyike katika ofisi za chama kwa gharama za chama,ikulu ni ofisi ya umma
 
Ukiwaona na mikaratasi utadhani wanajadili mambo ya maana kumbe kupoteza muda tu kuhalalisha ulaji wa posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…