Picha na Matukio Mgogoro wa Efatha Jumatatu ya Pasaka!!!!!!!!!!!!

Emil Mwangwa

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
124
Reaction score
24
Walinzi wawili wa Kiwanda cha Afroplus Mwenge walitekwa na Wafuasi wa Mwingira Efatha mwenge na kufanyiwa Unyama mkubwa pamoja na kungwa kamba na kukatwa mdomo na Jambia angalia picha hizi!!!
Ni bora jamii ikaelezwa Ukweli juu ya unyama huu ili watu wawajibike kuondoa kinyongo kwa wahusika.





PIA Mwaandishi wa habari Bwa Abdukarim Msengakamba (0774 321366) alipigwa na Waumini wa Efatha Juma tatu ya Pasaka na ameteguka na kwa sasa anashindwa kutembea!!
 

Attachments

basi ingekua waislam hapo ungeskia
oooh magaidi,wana vurugu..!wana mapepo..!
Shutuma kibao,,mungu huwaumbua wapotevu na waerevu hapa hapa ulimwenguni,,
haya sasa mtume gani huyo anashupalia mambo kama hayo,??uislam magaid wafanye wengne lawama tupewe sie na propaganda za wamarekani na west
itafahamika tuh,twenden hvi hiv
 
Operation ya kubomoa kiwanda ilipangwa na mwingira eneo la kibaha wahalifu walisafiri na basi la efatha benk hadi mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…