nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Pole sana mkuu, chuki huuwa.Wewe wasema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, chuki huuwa.Wewe wasema!
Haya kunyaland!Hehehe!! Naona mumefanyia kazi ushauri wangu, endeleeni kuibua kila aina ya chokochoko Watz watajisahau na kuacha kuhoji aliko mkulu.
Sema kwa ubunifu nawaona zero, ombeni msaada tuwape utundu wa kulianzisha uone Watanzania wote wataongelea kuhusu Kenya kwa wiki mbili zijazo na hakuna atakumbuka tetesi za hao wa kwenye mitandao.
Source ya ramani hiyo ni nani na malengo yake yalikuwa nini?Yani naona hadi Uganda na Rwanda zinafuatiliwa ila Tanzania hakuna nchi inayoifuatilia alafu wao ndio kila siku wanapiga kelele humu eti wanafuatiliwa. 🤣
Kweli kabisa ndugu. Tunasubiri tangazo rasmi hapa!Pole sana mkuu, chuki huuwa.
We bwege sana, huna hata historia ya kukomboa nchi hapa Africa, jaribu uone mbulukenge wewe
These are nonsense, I know the Twitter account that came up with this nonsense, aliulizwa aprovide evidence ya hivo vipimo, nada, sasa hivi #magufuli is trending in Kenya, #whatwouldmagufuli do was trending in Kenya, many Tz songs have been trending in Kenya afu eti Tz tuna fuatilia ya Kenya, ww endelea kujidanganya kama kawaida yako, ila tunajua nani anayefuatilia ya Tz sasa hivi.
kuna vimbwanga vya VIP EA zaidi ya vile vya naibu rais kupiga kampeni kabla ya uchaguzi???Sasa wakenya wanamjua kiongozi wenu yupi, zaidi ya dikteta wenu na vibwanga vyake vya kila mara? Hata makamu wa rais tu wakenya hawamjui kwa jina. Nyie hapo mnafatilia kwa makini siasa na wanasiasa wa Kenya, wa serikali na upinzani, bila kubagua. Nilishangaa kuona kwamba mnawajua vizuri kina Ruto, Sonko hadi na wanasiasa kienyeji kama Murkomen. [emoji4] Hadi eti na BBI pia mnaifahamu, hata zaidi ya wakenya. [emoji38] Jombaa hapo ulipo najua unatizama stesheni za Tv za Kenya, mitandaoni ukiingia unasoma habari kutoka kwa gazeti za Kenya. Hapa Jf tu siku haiwezi ikaisha kama hujafika humu kwenye jukwaa hili la habari na siasa za Kenya. [emoji38] Usijaribu kunidanganya kwamba huwa unafatilia ule upuuzi ambao huwa mnaita uanahabari nchini Tz.
Mara nyingi tukiongea kuhusu shitholes huwa hatuijadili South Africa, japo huwa mnapenda kuwashobokea mkiwaita ndugu lakini wao wako nje ya hizi mada.
Sasa hivi wameanzisha chochokocho zingine kukwamisha mradi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania wanajiita International NGOs kutoka Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]Anakytical mind yako uwa mega smart lakini wakati mwingine ujisahau na kuwa fyatu kidogo - chukulia mfano wa kuanza kuwabeza Watanzania eti tunajifanya raia wa South Afrika ni ndugu zetu, labda nikukumbushe historia ya nyuma - ni hivi mkuu: Watanazia maelfu wajitolea na damu yao wakipigana bega kwa bega na ndugu zetu wa Afrika kukomboa Taifa lao lilikuwa chini ya makaburu, swali ni ,je, Kenya/Kenyatta alitoa mchango gani kuwakomboa Waafrika wenzao dhidi ya ukoloni specifically in Southern Africa Region, Kenyans contributed nothing sana wana walikuwa wanashirikiana na makaburu wenyewe na Ian Smith kuchelewesha ukombozi kusuni mwa Afrika, wanashirikiana na Chester Croker, Voster/Botha na so called Constructive engagement designed kuchelewesha uhuru Afrika Kusini pamoja na majirani zake.
Linapo kuja suala la Serikali ya Kenya ya wakati huo kusaidia ukombozi wa Waafrika wenzao barani Afrika - Kenya was and still is a disgrace - akili zao zote zipo kwenye kutafuta mbinu za kufanya biashara na kujaribu kuziibia big time na alaghai juu mataifa ya kusini mwa Afrika - kujifanya wao wana akili sana Mataifa mengine barani Afrika bado ya melala usingizi - ndio mlivyo, man eat man vitu vingine kwenu ni secondary mmekubuhu kwenye wizi, ulaghai watu wasielewane, roho ya kutu ndio uwasumbua sana sijui kwa nini?
Sio kwamba nawasingizia mbona mifano hipo mingi sana ya ku-support unafiki wenu uliyo pitiliza mipaka, la kwanza: Mliwahi kuvalia njuga suala la ujenzi wa barabara kupitia mbuga za wanyama nchini mwetu - hamkutaka barabara hiyo ijengwe mkapeleka malalamiko yenu mpaka kwenye jumuhia ya kimataifa mkidai eti Tanzania inaingilia eco systems za mbuga za wanyama kwenye hifadhi ya Serengeti na Ngorongoro - ulaghai mtupu.
Hamkuishia hapo, siku nyingine mjatushitaki kwenye hizo hizo za kimataifa eti Tanzania inauwa tembo wengi hivyo wasiruhusiwe kuuza meno ya tembo kwa mnada,mnaisema Tanzania huku Afrika Kusini na Zimbabwe zinaruhusiwa kuuza meno ya Tembo kimataifa - siku nyingine mkailalamikia Dunia eti Tanzania inazuhia Nyumbu ku-cross mto Mara na kwenda kwenye hifadhi yenu ya Masai Mara - akili gani hizi kama sio kuchanganyikiwa, mwisho ni hili suala la ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme huko mto wa Rufiji, na hapo mlisha anxisha chokochoko zenu eti ujenzi wa bwawa hilo utaharibu mahekta na mahekta za misitu na wanyawa kukosa pa kuishi hivyo ingekuwa vyama kama mradi huo ungesitishwa - hizi kama sio akili za kichawi tuziiteje?
Now back to the main point: ukombozi barani Afrika.........
Uzuri ni kuwa wanaume huwa hatufuatilii hovyo mambo ya watu ila mtu akijiingiza katika mambo yetu yetu huwa tunafanya dawa ndogo sana kuna jamaa mmoja katika wale wanaodai wao ni kizazi cha Mgingo alifia kule ambako shetani huwa anapigwa mawe kila mwaka, nadhani ukiwasailiana na mtoto wake yeyote atakuhadithia kwanini kuna watanzania walijiita majina ya samaki hali ya kuwa wao ni binadamu,atakwambia tu kwanini watanzania walikanyaga mayai kama ishara ya kupewa baraka kutoka katika jamii fulani, ila kikubwa zaidi atakwambia kwanini mwanaue alivaa vazi la kike ili kupata huruma ya watanzania.Hehehe!! Naona mumefanyia kazi ushauri wangu, endeleeni kuibua kila aina ya chokochoko Watz watajisahau na kuacha kuhoji aliko mkulu.
Sema kwa ubunifu nawaona zero, ombeni msaada tuwape utundu wa kulianzisha uone Watanzania wote wataongelea kuhusu Kenya kwa wiki mbili zijazo na hakuna atakumbuka tetesi za hao wa kwenye mitandao.
wewe mpumbavu wa mwisho! Kama mipaka inabadilishwa hivyo kwa matakwa binafsi ya nchi basi kila siku kungezuka vita!Kenya kwa kule Somalia wapo sahihi vinginevyo huku Tanzania mpaka ukiwa kama Somalia wanavyotaka itakula kwa Tanzania
Na wewe pia ni boya sio?Huo mpaka wa Kenya ukienda wanavyotaka straight kuna kisehemu cha juu kabisa cha Pemba kitakatwa na Kenya.
Unajichoresha bure kunipa maneno ya kashfa wakati mimi naongelea jambo la kijiografia na kisayansi linalofuata kanuni za Euclidean Geometry na kuweza kupimwa kwa ruler kwenye ramani.Na wewe pia ni boya sio?
Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?Unajichoresha bure kunipa maneno ya kashfa wakati mimi naongelea jambo la kijiografia na kisayansi linalofuata kanuni za Euclidean Geometry na kuweza kupimwa kwa ruler kwenye ramani.
Mambo yenu ya siasa za kutukanana siyawezi, kwa hayo mimi ni boya.
Let's talk facts. Scientific facts, within my stated context.
I am not in the mood to debunk flat earthers who do not accept Euclidean Geometry today.
Mkuu umetumia nguvu kubwa sana kumjibu mpuuzi,huyo kilaza MK254 ni wa kupuuzwa 100%Anakytical mind yako uwa mega smart lakini wakati mwingine ujisahau na kuwa fyatu kidogo - chukulia mfano wa kuanza kuwabeza Watanzania eti tunajifanya raia wa South Afrika ni ndugu zetu, labda nikukumbushe historia ya nyuma - ni hivi mkuu: Watanazia maelfu wajitolea na damu yao wakipigana bega kwa bega na ndugu zetu wa Afrika kukomboa Taifa lao lilikuwa chini ya makaburu, swali ni ,je, Kenya/Kenyatta alitoa mchango gani kuwakomboa Waafrika wenzao dhidi ya ukoloni specifically in Southern Africa Region, Kenyans contributed nothing sana wana walikuwa wanashirikiana na makaburu wenyewe na Ian Smith kuchelewesha ukombozi kusuni mwa Afrika, wanashirikiana na Chester Croker, Voster/Botha na so called Constructive engagement designed kuchelewesha uhuru Afrika Kusini pamoja na majirani zake.
Linapo kuja suala la Serikali ya Kenya ya wakati huo kusaidia ukombozi wa Waafrika wenzao barani Afrika - Kenya was and still is a disgrace - akili zao zote zipo kwenye kutafuta mbinu za kufanya biashara na kujaribu kuziibia big time na alaghai juu mataifa ya kusini mwa Afrika - kujifanya wao wana akili sana Mataifa mengine barani Afrika bado ya melala usingizi - ndio mlivyo, man eat man vitu vingine kwenu ni secondary mmekubuhu kwenye wizi, ulaghai watu wasielewane, roho ya kutu ndio uwasumbua sana sijui kwa nini?
Sio kwamba nawasingizia mbona mifano hipo mingi sana ya ku-support unafiki wenu uliyo pitiliza mipaka, la kwanza: Mliwahi kuvalia njuga suala la ujenzi wa barabara kupitia mbuga za wanyama nchini mwetu - hamkutaka barabara hiyo ijengwe mkapeleka malalamiko yenu mpaka kwenye jumuhia ya kimataifa mkidai eti Tanzania inaingilia eco systems za mbuga za wanyama kwenye hifadhi ya Serengeti na Ngorongoro - ulaghai mtupu.
Hamkuishia hapo, siku nyingine mjatushitaki kwenye hizo hizo za kimataifa eti Tanzania inauwa tembo wengi hivyo wasiruhusiwe kuuza meno ya tembo kwa mnada,mnaisema Tanzania huku Afrika Kusini na Zimbabwe zinaruhusiwa kuuza meno ya Tembo kimataifa - siku nyingine mkailalamikia Dunia eti Tanzania inazuhia Nyumbu ku-cross mto Mara na kwenda kwenye hifadhi yenu ya Masai Mara - akili gani hizi kama sio kuchanganyikiwa, mwisho ni hili suala la ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme huko mto wa Rufiji, na hapo mlisha anxisha chokochoko zenu eti ujenzi wa bwawa hilo utaharibu mahekta na mahekta za misitu na wanyawa kukosa pa kuishi hivyo ingekuwa vyama kama mradi huo ungesitishwa - hizi kama sio akili za kichawi tuziiteje?
Now back to the main point: ukombozi barani Afrika.........
Logical non sequitur.Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?