Picha na ramani: Eneo la bahari Wakenya waiomba Serikali yao kuigeukia Tanzania

Haya kunyaland!
 
Yani naona hadi Uganda na Rwanda zinafuatiliwa ila Tanzania hakuna nchi inayoifuatilia alafu wao ndio kila siku wanapiga kelele humu eti wanafuatiliwa. 🤣
Source ya ramani hiyo ni nani na malengo yake yalikuwa nini?
 
We bwege sana, huna hata historia ya kukomboa nchi hapa Africa, jaribu uone mbulukenge wewe

Uliikomboa Afrika kutoka kwa kitu gani labda, maana nyie huko mnaongoza kwa umaskini....mnashindwa na viinchi vidogo kama Kenya.
 

Halafu Watz naona mnalalamika mumefungiwa Twitter, mnalo kweli nyie watu Twitter
 
Ila myoa UZI ulitaka tu UZI wako upate covorage kubwa , sasa mbona hapo hatuoni hao wa 🇰🇪 wakilalamika kuhusu ilo eneo laa bahari
Na kama wao 🇰🇪 wamejitoa ICJ how come waje walalamikie eneo la bahari

All in all ktk ilo kama kweli 🇰🇪 wata raise hakika watakuwa wamekosea
 
kuna vimbwanga vya VIP EA zaidi ya vile vya naibu rais kupiga kampeni kabla ya uchaguzi???

tofauti yenu na sisi iko hapa.

mnatufuatilia kwenye mambo ya hovyo ili mtutangaze duniani.

tunawafuatilia kama threat ya kiusalama.

ndio maana unaona hakuna tension inatokea mkiwa na sisi halafu mkashinda.sababu tunawajua miaka 15 mbele,mnatujua miaka 15 nyuma.
 
Mara nyingi tukiongea kuhusu shitholes huwa hatuijadili South Africa, japo huwa mnapenda kuwashobokea mkiwaita ndugu lakini wao wako nje ya hizi mada.

Analytical mind yako uwa mega smart lakini wakati mwingine ujisahau na kuwa fyatu kidogo - chukulia mfano wa wewe kuanza kuwabeza Watanzania eti tunajifanya raia wa South Afrika ni ndugu zetu, labda nikukumbushe historia ya nyuma - ni hivi mkuu: Watanazia maelfu walimwaga damu yao wakipigana bega kwa bega na ndugu zetu wa Afrika kusini kukomboa Taifa lao lililo kuwa chini ya makaburu, swali ni ,je, Kenya/Kenyatta alitoa mchango gani kuwakomboa Waafrika wenzao dhidi ya ukoloni specifically in Southern Africa Region, tuwe wakweli hapa Kenyans contributed nothing , sana sana walikuwa wakishirikiana na makaburu wenyewe na Ian Smith kuchelewesha ukombozi kusuni mwa Afrika, wanashirikiana na Chester Croker, Voster/Botha na so called Constructive engagement designed kuchelewesha uhuru Afrika Kusini pamoja na majirani zake.

Linapo kuja suala la Serikali ya Kenya ya wakati huo kusaidia ukombozi wa Waafrika wenzao barani Afrika - Kenya was and still is a disgrace - akili zao zote zipo kwenye kutafuta mbinu za kufanya biashara na kujaribu kuziibia big time na alaghai juu mataifa ya kusini mwa Afrika - kazi kujifanya wao wana akili sana kuliko Mataifa mengine barani Afrika wanafikiri waafrika bado wamelala usingizi - ndio mlivyo, man eat man vitu vingine kwenu ni secondary mmekubuhu kwenye wizi, ulaghai na kufiti yaifa na taifa ili watu wasielewane, roho ya kutu ndio uwasumbua sana sijui kwa nini?

Sio kwamba nawasingizia mbona mifano hipo mingi sana ya ku-support maoni yangu juu ya unafiki wenu uliyo pitiliza mipaka, la kwanza: Mliwahi kuvalia njuga suala la ujenzi wa barabara kupitia mbuga za wanyama nchini mwetu - hamkutaka barabara hiyo ijengwe, mkapeleka malalamiko yenu mpaka kwenye jumuhia ya kimataifa mkidai eti Tanzania inaingilia eco systems za mbuga za wanyama kwenye hifadhi ya Serengeti na Ngorongoro - ulaghai mtupu.

Hamkuishia hapo, siku nyingine mkatushitaki kwenye hizo hizo jumuhia za kimataifa eti Tanzania inauwa tembo wengi hivyo wasiruhusiwe kuuza meno ya tembo kwenye mnada,mnaisema Tanzania huku Afrika Kusini na Zimbabwe zinaruhusiwa kuuza meno ya Tembo kimataifa - siku nyingine mkailalamikia Dunia eti Tanzania inazuhia Nyumbu ku-cross mto Mara na kwenda kwenye hifadhi yenu ya Masai Mara - akili gani hizi kama sio kuchanganyikiwa, mwisho ni hili suala la ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme huko mto wa Rufiji, na hapo mlisha anzisha chokochoko zenu eti ujenzi wa bwawa hilo utaharibu mahekta na mahekta za misitu na wanyawa kukosa pa kuishi hivyo ingekuwa vyema kama mradi huo ungesitishwa - hizi kama sio akili za kichawi tuziiteje?

Now back to the main point: ukombozi barani Afrika, kama nakumbuka Rais Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Mugabe wa Zimbabwe waliwahi kuisuta Kenya live kwamba hakuwahi kusaidia chochote katika harakati za kuwakomboa Wafrika wenzao dhidi ya ukoloni kusini mwa Afrika - lakini cha ajabu Kenya hiyo hiyo ndio inataka ipewe kipa umbele katika uwekezaji kwenye Maitaifa yaliyo kombolewa na Tanzania,Zambia na Msumbiji - Zuma na Mugabe walisema hawataki kuwasikia Wakenya wakija nchini mwao wakijifanya ni wawekezaji yaani wanataka kuvuna ambacho hawakuwai kukipanda - wenzao walimwaga damu kukomboa Afrika Kusini na Zimbabwe wakati huo Kenya ilikuwa kimya kabisa ie waliona masuala ya Ukombozi haya wahusu kabisa save wakenya kutaka ku-invest kwenye mataifa yaliyo kombolewa na wenzao kwa mtutu wa bunduki hata aibu hawana kabisa.
 
Sasa hivi wameanzisha chochokocho zingine kukwamisha mradi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania wanajiita International NGOs kutoka Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]

Walitamani hilo bomba lipite kwao ila ndio hivyo tena Mu7 kawashtukia ni wapumbavu.
 
Uzuri ni kuwa wanaume huwa hatufuatilii hovyo mambo ya watu ila mtu akijiingiza katika mambo yetu yetu huwa tunafanya dawa ndogo sana kuna jamaa mmoja katika wale wanaodai wao ni kizazi cha Mgingo alifia kule ambako shetani huwa anapigwa mawe kila mwaka, nadhani ukiwasailiana na mtoto wake yeyote atakuhadithia kwanini kuna watanzania walijiita majina ya samaki hali ya kuwa wao ni binadamu,atakwambia tu kwanini watanzania walikanyaga mayai kama ishara ya kupewa baraka kutoka katika jamii fulani, ila kikubwa zaidi atakwambia kwanini mwanaue alivaa vazi la kike ili kupata huruma ya watanzania.
Unajua kwanini kuku hakojoi ?
 
Huo mpaka wa Kenya ukienda wanavyotaka straight kuna kisehemu cha juu kabisa cha Pemba kitakatwa na Kenya.
 
Kenya kwa kule Somalia wapo sahihi vinginevyo huku Tanzania mpaka ukiwa kama Somalia wanavyotaka itakula kwa Tanzania
 
Kenya kwa kule Somalia wapo sahihi vinginevyo huku Tanzania mpaka ukiwa kama Somalia wanavyotaka itakula kwa Tanzania
wewe mpumbavu wa mwisho! Kama mipaka inabadilishwa hivyo kwa matakwa binafsi ya nchi basi kila siku kungezuka vita!
 
Na wewe pia ni boya sio?
Unajichoresha bure kunipa maneno ya kashfa wakati mimi naongelea jambo la kijiografia na kisayansi linalofuata kanuni za Euclidean Geometry na kuweza kupimwa kwa ruler kwenye ramani.

Mambo yenu ya siasa za kutukanana siyawezi, kwa hayo mimi ni boya.

Let's talk facts. Scientific facts, within my stated context.

I am not in the mood to debunk flat earthers who do not accept Euclidean Geometry today.
 
Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?
 
Mkuu umetumia nguvu kubwa sana kumjibu mpuuzi,huyo kilaza MK254 ni wa kupuuzwa 100%
 
Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?
Logical non sequitur.

You are basing your question on the wrong assumption kwamba naongelea kuheshimiwa kwa mipaka ya kimataifa.

Naongelea Euclidean Geometry, si mipaka ya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…