Picha na Video: Eti huyu mdada wa kihindi naye ashindana na akina Masogange kwenye Mapishi

Picha na Video: Eti huyu mdada wa kihindi naye ashindana na akina Masogange kwenye Mapishi

naona wameficha muonekano wa figure na sura yake yote ndio maana anaonekana anamvuto. akionekana figure yote unaweza ukashtuka na kutoka nduki kwakutotegemea utavyo muona.
 
Dah,nilikuwa nimelala wakati nikifungua uzi huu ila nilipofungua video hii ilinibidi niamke nikae vizuri sheikh wangu.
 
Ebwana wanaJF mzuka!

Acheni Sagodi aitwe Sagodi! Mola tupe uvumilivu tu waja wako. Dah hii ni hatareee!!





Cc Benny mgt software Borat69 Ng'wanapagitokyo40 Zamaulid UncleBen(Che) mrangi Smart911 GENTAMYCINE Smart911

Nakuwa na shaka kidogo,makontainer ya ukubwa huu hata kavibrationa kidogo hakuna?maana hata skin tight tatu avae bado hazidhibiti mitikisiko na vimbunga,basi hata ule mpishano wa bembea chini juu pia hakuna? made in bara hindi wana nyama teke mno si wakwetu walio na sugu kwa kukalia vigoda, nina shaka si kazi ya Mungu hii huu ni mkono wa binadamu tena ndugu zetu hawa kina HIHO.

Acheni Sagodi aitwe Sagodi! Mola tupe uvumilivu tu waja wako. Dah hii ni hatareee!!





Cc Benny mgt software Borat69 Ng'wanapagitokyo40 Zamaulid UncleBen(Che) mrangi Smart911 GENTAMYCINE Smart911[/QUOTE]
 
Siyo la ukweli hilo.. kaweka mitoo... mwanamke akiwa na tako ukubwa huo lazima litapasuka katikati na kuchora mfereji na mitetemo yako kama volcano ya mlima fiji... tako gumu kabisa hilo la bandia...
Kama hili
1d405625a870556dda02ad84fd1dc2dd.jpg
 
Wanaume wa Africa wanapenda matako sana.Wanasababisha watu watumie michina waote hips nne.
 
Angekua huku mwaka jana na kama angeonekana na Msoga airline angepewa ukuu wa wilaya...
 
Back
Top Bottom