Picha na video ya mji wa Kitchanga jinsi M23 walivyoukomboa

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,363
Baada ya mwanajamvi Justine Marack kuendelea na kisa chake cha kusisimua nimeingia youtube na kupiga screen shots na video mbili na kushare na nyinyi. Napiga picha mazingira magumu mtu wetu alivyopitia hapo Kitchanga.



Video


 
Propaganda ya magharibi kupendelea rwanda utasikia 'M23 has captured the city of kitchanga..' sasa hiyo ni city au mji mdogo tu.
Hawa m23 hakika ni wadhalimu wa rwanda. Kitu gani hasa wanatafuta congo? Hebu tuanzie hapo. Hao watutsi ni wachache kila sehemu maziwa makuu. Je wanapigana kuteka ardhi ya congo wapeleke wapi? Nia yao ni nini?
 
Kulingana na intelejensia yangu na elimu yangu ya juu ya arial photography pictures. Nimejithibitishia hili jengo ndo Mwamba Justine Marack alilala usiku hule kulipotokea majibishano makali ya risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…